Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

the ultimatum

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
420
Reaction score
143
Habari za wakati huu.

Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo.

Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka takribani 19 ingawa imetofautiana ukubwa kutokana na ukuaji wake.

Ipo inayofaa kwa uchanaji wa mbao pana na na ipo inayofaa kwa mbao nyembamba za 2×2. Shamba zima lina mitiki zaidi ya 700. Mteja atauziwa miti yote na atakuwa na kibali cha kuitumia kwa chochote kinachompendeza, iwe kwaajili ya mbao au shughuli nyengine.

Miti hiyo imepandwa kwenye shamba la hekari mbili. Nauza miti yote kwa gharama ya Milioni 20 tu.

Nawakaribisha kwa mawasiliano 0687747989 au [email protected]
 

Attachments

  • IMG-20260617-WA0012.jpg
    IMG-20260617-WA0012.jpg
    222.9 KB · Views: 26
  • IMG-20260617-WA0008.jpg
    IMG-20260617-WA0008.jpg
    202 KB · Views: 23
  • IMG-20260617-WA0010.jpg
    IMG-20260617-WA0010.jpg
    236.7 KB · Views: 23
  • IMG-20260617-WA0022.jpg
    IMG-20260617-WA0022.jpg
    245.5 KB · Views: 25
  • IMG-20260617-WA0017.jpg
    IMG-20260617-WA0017.jpg
    211.7 KB · Views: 23
  • IMG-20260617-WA0004.jpg
    IMG-20260617-WA0004.jpg
    231 KB · Views: 25
  • IMG-20260617-WA0014.jpg
    IMG-20260617-WA0014.jpg
    243.5 KB · Views: 22
  • IMG-20260617-WA0023.jpg
    IMG-20260617-WA0023.jpg
    84.4 KB · Views: 22
  • IMG-20260617-WA0011.jpg
    IMG-20260617-WA0011.jpg
    243.7 KB · Views: 22
  • IMG-20260617-WA0018.jpg
    IMG-20260617-WA0018.jpg
    162 KB · Views: 23
  • IMG-20260617-WA0016.jpg
    IMG-20260617-WA0016.jpg
    227.6 KB · Views: 23
  • IMG-20260617-WA0021.jpg
    IMG-20260617-WA0021.jpg
    224.7 KB · Views: 26
Habari za wakati huu.

Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo.

Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka takribani 19 ingawa imetofautiana ukubwa kutokana na ukuaji wake.

Ipo inayofaa kwa uchanaji wa mbao pana na na ipo inayofaa kwa mbao nyembamba za 2×2. Shamba zima lina mitiki zaidi ya 700. Mteja atauziwa miti yote na atakuwa na kibali cha kuitumia kwa chochote kinachompendeza, iwe kwaajili ya mbao au shughuli nyengine.

Nawakaribisha kwa mawasiliano 0687747989 au [email protected]
Njaa mbaya sana. Hiyo miti bado sana. Mitiki iliyokomaa inaanzia miaka 40 kuendelea.
 
Kwasababu ipo shambani na ukubwa ni tofauti tofauti, nashauri tutembelee shamba tuifanyie tathmini pamoja nachoamini hatutashindwana. Kwa kwaida mtiki mmoja uliokuwa mkubwa kabisa, hufika bei mpaka 300,000 ila kwa ya kwetu sisi bei itakuwa chini kidogo kulikangana na ukubwa wake. Ingawa ni mikubwa na inafaa kwa uvunaji
 
Alijichaanganya kama alipanda akidhanu ni Mali basi asubiri 40 yrs wanakula wajukuu
Hiyo nilipanda mimi mwaka 2007 nikiwa kidato cha tano. Na sasa hv nina miaka 38 wajukuu gani unawazungumzia. Na kwa taarifa yako hiyo nitapata pesa nzuri tu ya kukidhi mahitaji yangu. Uvivu tu wa kuogopa kujaribu
 
Hiyo nilipanda mimi mwaka 2007 nikiwa kidato cha tano. Na sasa hv nina miaka 38 wajukuu gani unawazungumzia. Na kwa taarifa yako hiyo nikiiuza sikosi pesa chini ya milioni 50 na hapo ndiyo kiwango cha chini zaidi. Uvivu tu wa kuogopa kujaribu
Hapo Mkuu umepatia
 
Ila chief miti bado sana iyo napia nipo na wasiwasi na mwakahuo uliosema umepanda nakataa kabisa miti bado midogo kama miaka basi itakuwa na miaka 5
 
Ila chief miti bado sana iyo napia nipo na wasiwasi na mwakahuo uliosema umepanda nakataa kabisa miti bado midogo kama miaka basi itakuwa na miaka 5
Ina miaka hiyo niliyosema, nilipanda eneo ambalo liliingia maji baadae kwahiyo ipo miti ambayo iliathirika na maji katika ukuaji lakini ipo ambayo ilikuwa vizuri. Mitiki huwa haipendi maji mengi. Mingi iliyokua vizuri haikupitiwa na maji sana. Miti yote hiyo ina miaka si chini ya 19
 
Back
Top Bottom