the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 420
- 143
- Thread starter
- #21
Hapana, nauza miti tu. Shamba nataka nifanye kilimo cha mpungaHivyo kwa maelezo yako ni unauza pamoja na shamba?
Hapana, nauza miti tu. Shamba nataka nifanye kilimo cha mpungaHivyo kwa maelezo yako ni unauza pamoja na shamba?
Nashukuru sana, umeiweka vizuri sana hii. Barikiwa sanaMleta mada anauza kilicho chake nashangaa baadhi ya wachangiaji wanakuja hapa na maneno ya kejeli.
Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mbao ya mtiki ina thamani kubwa kutokana na uimara na ubora wake.
Huu uthamani wa mitiki na ukubwa wa soko, umepelekea mbao za mitiki kuhitajika sana.
Wateja hawasubiri hadi mtiki ujaze kiini cha ndani(ukomae). Kinachoangaliwa ni unene wa nje(outer circumfarence).
Kikubwa umeet mahitaji ya kiwanda cha kuchakata mbao za mitiki.
Hiyo mitiki mkuu the ultimatum utauza wala asikuzingue mtu.
Binafsi ntakuja kuicheck kwa macho yangu nifanye tathmini yangu then tufikie muafaka wa kibiashara.
Ni kweli mkuu njaa imenijaa.Mbona kama wewe ndio unanjaa mkuu? Pole sana.
Ndugu bidhaa ya miti thamani yake huanza ndani ya miaka 10 ya kupandwa kwake. Ni ufinyu wa mawazo kuwaza miti hutumika kwa mbao pekee. However ukiuza miti ya miaka 40 au 50 thamani yake haifanani na ukiuza miti ya miaka 10 au 20. Nadhani tuishi humoNi kweli mkuu njaa imejaa.
Ila Mzee, mimi mwenyewe nimepanda mitiki morogoro na handeni 2004, ndiyo kwanza ina diameter ya 30cm.
Ndugu nami ninayo mitiki inayozidi kiasi cha miti 2,000 ambayo imefika diameter ya 60-100 ipo zaidi ya miti 400 hivyo nahitaj kuvuna ili nitatue changamoto zangu, ina miaka 10+ ipo Mkuranga Pwani. KaribuMleta mada anauza kilicho chake nashangaa baadhi ya wachangiaji wanakuja hapa na maneno ya kejeli.