Wilaya ya Chemba Mkoa wa Dodoma wanaohusika na kukusanya kodi wanatuumiza sana wananchi, wanakuja kwenye duka hata kama umefungua jana yake uko na siku moja tu, wanakupiga faini ya Sh 50,000 na wanakupa siku saba kulipa kodi.
Unakuta huna uelewa hata na hiyo kodi, kodi kwa biashara yangu ni Sh...