william maduhu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maduhu: Mahakama imesema kuzuiwa kwa mawakili kuonana na Lissu Gereza la Ukonga kulimnyima mtuhumiwa nafasi ya kujitetea kikamilifu

    Wakili Mwandamizi kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema mahakama imeeleza kuwa kitendo cha maafisa wa Gereza la Ukonga kuwazuia mawakili kuonana na mteja wao kilimnyima mtuhumiwa nafasi ya kujitetea kikamilifu. Akihojiwa Oktoba 22, 2026 kupitia Wasafi FM...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Advocate William Maduhu: Je Waziri yeyote ana mamlaka ya kikatiba na kisheria kuita mtu/mtuhumiwa fulani wa jinai kujisalimisha kwake kwa mahojiano?

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi ametoa amri kwa baadhi ya watu (wanaodhaniwa kuwa wametenda makosa ya jinai) kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili. Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Patrobas Katambi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maduhu: Nategemea Msajili ataiandikia Barua CCM ya kuifuta au kuionya kwa kauli za Chatanda

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema anategemea kuona Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiandikia barua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuionya au kuchukua hatua madhubuti dhidi ya kauli zilizotolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maduhu: Nilikagua Hati za Mashtaka 1,651, sikukuta Mtu kutoka Nje ya Nchi, Matukio ya Oktoba 29

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema hawakuona ushahidi wowote unaoonesha kuwa vijana kutoka nchi jirani walikodiwa kuja kushiriki katika maandamano yaliyofanyika nchini mwaka jana Oktoba. Maduhu ameyasema hayo Mei 16, 2026, katika Mjadala wa Kitaifa...
Back
Top Bottom