PostGE2025 Maduhu: Nategemea Msajili ataiandikia Barua CCM ya kuifuta au kuionya kwa kauli za Chatanda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema anategemea kuona Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiandikia barua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuionya au kuchukua hatua madhubuti dhidi ya kauli zilizotolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Taifa (UWT), Mary Chatanda.

Soma: Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

Maduhu amefafanua kuwa wadau wengi wamekuwa wakilalamika kutokana na kile kinachoonekana kama upendeleo, kwani mara kwa mara hatua kali zimekuwa zikichukuliwa dhidi ya vyama vya upinzani kama vile CHADEMA, huku makada wa CCM wakiachwa bila kuhojiwa pale wanapotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani au ubaguzi wa kisiasa.

​
 
Mutungi na Nyahoza wote ni

FB_IMG_1748360197313.jpg
 
that's political statement, it has no impacts at all 🐒
 
Akiandika watamfuta yeyey..lazima aongee nao mwanza ili yafanyike maigizo
 
Msajili umri wake ni zaidi ya miaka 70, yupo hapo kwa hisani ya Samia hivyo hawezi kuukata mkono unaomlisha.
 
Kwani msajiri wa vyama alipata uteuzi kutoka kwa nani ? analipwa mshahara kutoka kwa serikali ya inayoongozwa na chama ipi ? ..... Hima wa Tanzania ninawaomba sana tuidai katiba mpya kwa nguvu moja .
leo tunalia Mahakama haiko huru inatoa upendeleo kwa ccm .
Hakuna tume huru ya uchaguzi .

Hakuna uhuru wa habari .

Hakuna Bunge huru la haki .

Vyombo vya usalama kutumika na ccm.

Hakuna haki ya mwenye nacho na asiyekuwa nacho.

Hakuna uwajibikaji katika ubadhilifu wa Mali za umma .

Hakuna utawala bora .

BILA KATIBA MPYA SASA HUKO MBELE HALI ITAKUWA MBAYA SANA . HATA HAWA WANAONUFAIIKA SASA NA HII KATIBA MBOVU HUKO MBELE WATALIA NA KUSAGA MENO .
 
Wao na watoto wao, ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom