PostGE2025 Maduhu: Nategemea Msajili ataiandikia Barua CCM ya kuifuta au kuionya kwa kauli za Chatanda

PostGE2025 Maduhu: Nategemea Msajili ataiandikia Barua CCM ya kuifuta au kuionya kwa kauli za Chatanda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ingekuwa upande wa pili hata jua lisingezama keshatia mkwara mbuzi wa kufutia chama usajili.
 
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema anategemea kuona Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiandikia barua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuionya au kuchukua hatua madhubuti dhidi ya kauli zilizotolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Taifa (UWT), Mary Chatanda.

Soma: Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

Maduhu amefafanua kuwa wadau wengi wamekuwa wakilalamika kutokana na kile kinachoonekana kama upendeleo, kwani mara kwa mara hatua kali zimekuwa zikichukuliwa dhidi ya vyama vya upinzani kama vile CHADEMA, huku makada wa CCM wakiachwa bila kuhojiwa pale wanapotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani au ubaguzi wa kisiasa.
Baada ya kuona aibu, hatimaye msajili wa CCM amekiandikia chama chake barua ya "kujieleza". Haya maCCM ni majitu ya kiqumer sana.
 
Msajili yupo kwa maslahi ya mabosi wake ccm
Haha kwa miaka zaidi ya 30 tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi ccm hajawahi kuandikiwa barua ya onyo Wala karipio au onyo. Haha alivyosema chatanda ndo wakajitututumua Ili waonekane wanatenda haki. We know the truth
 
Baada ya kuona aibu, hatimaye msajili wa CCM amekiandikia chama chake barua ya "kujieleza". Haya maCCM ni majitu ya kiqumer sana.
It's just a scenario of a clown in the middle of the circus, it brings nothing but a total illusion of joy.
Registrar's public performance vs people's private anger.
 
Back
Top Bottom