Wakili Mwandamizi kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema mahakama imeeleza kuwa kitendo cha maafisa wa Gereza la Ukonga kuwazuia mawakili kuonana na mteja wao kilimnyima mtuhumiwa nafasi ya kujitetea kikamilifu.
Akihojiwa Oktoba 22, 2026 kupitia Wasafi FM...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi ametoa amri kwa baadhi ya watu (wanaodhaniwa kuwa wametenda makosa ya jinai) kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili.
Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Patrobas Katambi...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema anategemea kuona Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiandikia barua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuionya au kuchukua hatua madhubuti dhidi ya kauli zilizotolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema hawakuona ushahidi wowote unaoonesha kuwa vijana kutoka nchi jirani walikodiwa kuja kushiriki katika maandamano yaliyofanyika nchini mwaka jana Oktoba.
Maduhu ameyasema hayo Mei 16, 2026, katika Mjadala wa Kitaifa...