Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi
Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
"Huyo Ruto hawezi saidia Nchi yetu, anahitaji kutuonyesha factory ata moja ambayo ametengeza. Amekuwa Deputy President miaka tisa sai lakini amefanya nini? Unaangalia mtu na Uongozi wake sio mdomo. Badala ya kumsaidia Rais Uhuru Kenyatta, kazi ni kutangatanga tu.
Gavana wa Kitui - Charity Ngilu.
Mchakato wa handshake (maridhiano ya kisiasa nchini Kenya) yalikutanisha makundi hasimu ya kisiasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta kwa upande wa Jubilee na mpinzani Raila Odinga.
Binafsi mwanzoni nilitazama kama mbinu ya kisiasa ya kuua upinzani Kenya, kwamba Ruto na Kenyatta walitengeza mgogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.