wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  2. Camilo Cienfuegos

    Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

    Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa. Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo . Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee. Yuki wapi aliyesema uzee...
  3. Thecoder

    Kwanini Kila nikiskiliza huu wimbo wa me too hisia zinahamia kwenye wimbo wa Sukari guru?

    Bila shaka mko vizuri wakuu. Huyu B-boy ukimskiliza vizuri utagundua ako na kitu kwenye namna anavyotengeneza midundo yake. Sijajua ni labda kwakua wako na muunganiko mzuri na huyu kijana Harmonize au ni kweli anauwezo mkubwa kwenye midundo ya aina hii. Kwenye huu wimbo wa "me too" alitulia...
  4. DR Mambo Jambo

    Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  5. Rozela

    Tazama Ramani ndiyo uwe Wimbo wa Taifa, Mungu iwe Sala ya Taifa

    Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa. ===== 1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya...
  6. Eli Cohen

    Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  7. N'yadikwa

    Wimbo niliosikiliza enzi za free Satellite dish

    YESHUA - AVION BLACKMAN
  8. Eli Cohen

    Share wimbo unaoelezea "mood" yako ya sasa. (A Song That Describes Your Current Mood)

    Simply Redd - Holding back the years https://youtu.be/yG07WSu7Q9w?si=3xbq2WPshiiR7Yhb
  9. Gordian Anduru

    WIMBO HII WA VIJANA JAZZ UNAITWAJE?

    Mara ya kwanza uliniomba tucheze wote Muziki wa kwetu siwezi kukataa ....... Mimi ni mke wa mtu ooo mama eeh NImeshaolewa
  10. Mkunazi Njiwa

    Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

    Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT. Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza.... Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
  11. D

    Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

    https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu. Kweli muda unakimbia sana. Mshana Jr
  12. Setfree

    Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

    Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu zifuatazo: Pesa zimeisha mfukoni mwako. Umeachwa na mke wako au mme wako. Unaumwa, umetibiwa, lakini...
  13. GENTAMYCINE

    Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

    Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
  14. P

    WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  15. Waufukweni

    VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  16. niomi

    Naomba mnisaidie title ya huu wimbo

    Naombeni anae jua title ya huu wimbo aniambie
  17. TozzyMay

    Uchambuzi wimbo mpya wa dizasta Vina "Utaliimba Jina Langu " ft G Nako

    Wimbo huu wa Dizasta Vina ft G nako "Utaliimba Jina Langu," unachambua masuala ya maisha, kifo, na umuhimu wa kujitambua, pamoja na changamoto za maisha. Kila kipengele cha wimbo kina maana nzito na kinaangazia hali ya msanii kwenye maisha, mahusiano, na mazingira ya kijamii. Hapa chini ni...
  18. B

    Natafuta wimbo huu

    Ni wimbo wa alikiba anaimba kwenye kiitikio ' paraapilaa paraapila papaaa papipaap sijui unaitwaje jina lake msaada tafadhali
  19. Seawhale

    Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  20. Tajiri wa Babeli

    Mashabiki wa msanii Dizasta vina mje hapa mtuambie wimbo wa mwanajua unamaanisha nini?

    Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema ."walimwita mwanajua maana alijua yvote,, hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,, hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita...
Back
Top Bottom