Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC.
Maneno ya wimbo'
Jamani ee
Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich!
Merry Christmas 🌲
Technology imekuwa sana na mimi napenda kuchunguza vitu vinavyohusiana nayo.
Hizo nyimbo nilizopaste hapa nimezitengeneza kwa kutumia AI tupu kuanzia lyrics, beat, na vocals
Lyrics zimeandikwa na chat gpt ambapo ninaipatia prompt ya topic, na mistari iwe na urefu gani, chorus ihusishe nini...
KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA.
Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na kuzikwa kwenye makaburi ya Lang'ata.
Alikuwa sehemu ya kikundi cha wanamuziki wa Congo waliohamia...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni
Jim reeves:
•Seno Santa Claus
•Jingle bells
•Silent night
•Mary's boy child
SILVER BELLS:
"City sidewalks, busy sidewalks
Dressed in holiday style
In the air
There's a feeling
Of Christmas
Children laughing
People passing
Meeting...
Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu,
Mimi wangu ni huu👇
Wakuu habarini za wakati huu, nakuja mbele zenu muda huu kuwasilisha wimbo wangu ambao nimetengeneza mahususi kwa ajili ya Rais wetu, mama mpendwa tena kipenzi cha watanzania, unaoenda kwa kichwa cha "In her hands".
Huu wimbo nimeuandika kwa lugha ya Kiingereza.
nimekuja humu kutoa taarifa...
Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi.
Malengo siku moja, sisi wanachama...
Diamond ilitakiwa atulize kichwa katika uandishi wa mashairi, nchi za wenzetu wanapenda songs with content and well understandable lyrics, fluent language,
Nasikitika sana kuona msanii wetu Diamond anaimba ugolo bila yeye mwenyewe kujua, nadhani ingekuwa ni vizuri kama angepata mwandishi mahiri...
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani....
Ni wimbo wa miaka mingi...
Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki?
Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe.
Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.