Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela
Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane"
https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge.
Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda. Shikamooni Twanga Pepeta.
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.
Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama...
Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi.
Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini.
Wimbo
Bwana ndie mchungaji wangu mimi
Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu
Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga.
Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897.
Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika.
Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa.
Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
Tanta lala la
Ooh la la la la la
Mmh
Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale
Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu
Ni mitusi tu kwa instagram...
Nibebe - Nyota Ndogo
“Nibebe” from the album “Mpenzi”
Nyota Ndogo featuring Nonini
Nonini
Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya
Vile Swahili ni kitamu
Au sio
Nyota aa, Nyota aa
Ndogo oo, Ndogo oo
Nakupenda sana sitoficha
Kama kukupenda ni makosa
Sitaki kuwa sawa duniani
Kwani nakupenda sio...
Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa,
Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika bila kujua wanamaanisha nini
https://youtu.be/xtE9cdjeoh0?si=RG2Qy-xTNaNwK9JL
Hebu mwenye tafsiri...
Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa.
Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za kizazi kipya au hata cha zamani unatokea kuupenda sana wimbo huo na pengine wimbo huo...
Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba,
Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu...
Habari za muda huu wakuu,
Let's go
Kwani yule aliyeimba "Shetani na Mama mkwe wake wanalia, Shetani na Mama mkwe wake wamekalia msumari"
Alikuwa anawaza Nini Wakuu ???
Msanii wa Bongo Fleva, Sarah Michael Kitinga "Phina" aliimba ujumbe huu kupitia Wimbo wa "Sisi Ni Wale" aliouweka kwenye Chaneli yake ya YouTube, Desemba 29, 2023 na hadi Novemba 28, 2024 umetazamwa zaidi ya mara Milioni 10.99.
Wimbo ulilenga zaidi kumpa Mtu Moyo wa kuendelea kujituma katika...
Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa
Katika vitu ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.