Habari wana JF.
Mimi ni mwanamke ila huu wimbo wa Samia Queens maneno yaliyotumiwa naona hayako sawa.
"Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama"
"Hatuna haja ya kujigamba sana sifa zetu zunajulikana aaah aaah"
Je, kama wanaume wangeandika wimbo na kutumia maneno haya, tungewafikiriaje?
Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume.
Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
Wimbo wa taifa la hispania (The Marcha Real) ni moja ya nyimbo za taifa zisizo na maneno rasmi, hata hivyo kuna maneno (mashairi) yaliwahi kuandikwa huko nyuma.
Aina mojawapo ni utunzi wa maneno yaliyotungwa kipindi cha utawala wa Alfonso XIII's na mwingine katika utawala wa Francisco Franco...
Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki.
Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu...
Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square.
Katika mashambulizi...
Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
Jabari wanajamii forums
Kuna wimbo wa zamani sana wa bongo fleva unasema maneno haya
SAUTI YAKO INANIWEKA ROJO JUU
MAPENZI YAKO YANANIWEKA ROJO JUU
SIONI MWINGINE KATIKATI YAKO
SIONI MWENGINE ZAIDI YAKOO
NI WIMBO WA JAMAA MMOJA HIVI KAIMBA NA MDADA YAANI NAITAFUTA CSANQ HII NYIMBO MSAADA WENU...
Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana.
Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla.
Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu.
Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno
https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg
Mtoto alikua kavaa kanga tu...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba.
Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse...
Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo.
Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X,
“Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho...
Wakuu
Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella ..
Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na bwana mwamburi kusoma udaktari mpaka alipomaliza masomo yake Ili kurejea nyumbani Kenya na shida...
Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States.
Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara moja bali ni mara nyingi, na hapo juzi kati Harmonize alisogeza mbele kuutoa baada ya msanii Diamond...
Wakuu,
Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali!
Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo.
Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde?
R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima.
-kila munu avena kwao
-chilamba cha vene
-sanura
-baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.