Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba.
Sio leo toka zamani
Mnyama hana mpinzan
Hatushikiki Kiki
Hatukamatiki kiki
Watoto wa Dar
Watoto wa...
Habari wakuu,
Ni wasanii gani unapendekeza watoe remix ya wimbo kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah.
Wasanii watatu.
Nani aimbe sehemu ya Mez B
Nani aimbe sehemu ya Ray C
Nani aimbe sehemu ya Noorah
Sehemu ya Noorah inahitaji kijana mwenye swaga. Sijui kama tutampata.
Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.
Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
Kuna nabii ametokea anadai wimbo huu mdada kauimba kwa kutumiwa na shetani bila yeye kujua, labda kwasababu amekuja wakati wa trend shetani anaagiza manabii na mitume wa uongo hao wauza mafuta waufute uungu wa Yesu. what I think about it;
1. Mungu ni mmoja tu, ila amejidhihirisha kwa nafsi...
Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua.
Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita Zaire.
Hata yeye alibadili jina lake la ubatizo la Joseph Desire na kujiita Mobutu Seseseko Kuku...
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh "
Nikinukuu baadhi ya verse
" Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe "
Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri.
Haya...
[Verse 1 – Professor Jay]
Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini
Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi
Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika
Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika
Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi
Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi
Rap si...
Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu CHADEMA. Jamaa walikiwasha sana. Mwaka 2005 - 2015 zilikuwa ni zama za dhahabu kwa CHADEMA. Ilikuwa...
Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa.
Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa alikuwa ni free thinker, chini nimekuwekea lyrics ya uswazi take away remix, hebu jaribu kusoma taratibu...
Haya mambo unaweza ukalia.
Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa.
Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa.
Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.
https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam.
Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa.
Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.