Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo...
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu
Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.