Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu siamini kama uchaguzi utakuwa huru, haki na wazi. Niliamua kuusikiliza ule wimbo kwa makini na...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema taarifa za kuufungia wimbo wa ‘One time’ wa Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee si za kweli.
BASATA wamesema walimuita kumpa maelekezo msanii huyo ikiwemo kufanya maboresho kwa wimbo huo, kuwasilisha BASATA kusikilizwa na kupewa daraja la...
Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni.
Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA"
Sikiliza mwenyewe then put your comment.
Kumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini.
Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta hamasa kubwa sana kwa vijana kuhusiana na tatizo sugu la ufisadi hapa nchini kwetu.
Kwa maoni...
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na...
Malalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na kondoo wake, ni mtu anayetafutwa huko Japan kwa kutembea na mke wa mchungaji
Pia amedaiwa kusema...
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina la ‘One Time’ baada ya kudaiwa kuhamasisha matumizi ya uvutaji wa bangi.
Hatua hiyo imekuja, baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), kuthibitisha...
Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here. Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii.
Kwanza hii ni dedication kwa members wote wakike humu haijalishi mzee au kijana ama mweupe au black beauty...
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Je, ni wananchi waliopigwa na maisha kutokana ugumu wa upatikanaji wa pesa kwenye utawala huu?
Je, ni vijana waliokosa ajira...
Wakuu huu wimbo Tundu Lissu alijifikiria nini kwenda nao katika kampeni? Kiukweli umenigusa sana hasa hiyo mistari niliyobold ina maana kubwa sana. Tundu una akili sana na napenda unavyojua kuucheza.
One love
One heart
Let's get together and feel alright
(hear the children crying)
One love...
Wimbo wa taifa la Kenya inavutia kweli. Tazama video. Maoni ya Watanzania ni ipi kuhusu wimbo wa taifa la Kenya? Ila natoa ilani, kama una utoto usicomment.
Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema
Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema
Wasikilizaji naskia wana ndoto na wenyewe, si uongo hadithi nzuri ndio kilele kwa wasikilizaji ila ndoto ya msimuliaji
Ndoto ya...
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform ikiongozwa na kimkayndo wakalishughulikia hilo jambo na kugundua kuwa aliyofanya hivyo jina halisi...
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.
Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted Energy kwa sekunde 26 tu
Katika chapisho lililotolewa na Pulse Live, Swizz Beatz alimtetea mkewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.