Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni.
Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO".
Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.!
Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!?
Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini....
Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale...
Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Chalamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.
Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
Tusiongee Sana, hivi msanii akitoa wimbo ukawa na views wengi inamaana ndo mziki mzuri , au views inategemeana na popularity ya aliyeutoa mziki huo.
Kwasababu Kuna miziki ukisikia ni ya kawaida Ina views wengi, Ila Kuna mwingine mikali Ina views wachache.
Nachanganyikiwa.
.tuchukulie mfano...
Habari wanajamvi..!
Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali.
Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.
Kiukweli tuache utani mbona naona kama huu wimbo unamashairi mazuri ama kwa kuwa si mchambuzi wa mziki
@Ommydimpoz ulikomaa sio mhezo
Oh cherie
Usione nachelewa
Mwenzako nafanya mipango
Tupate riziki kidogo
Yo mamii
Usione nachelewa
Yote sababu mipango utasubiri kidogo
My moonlight
My...
Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili.
"Kiberenge kinaokoaaaa...
Imetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
Wimbo huu ukipigwa unafanya nimkumbuke baba yangu mzazi enzi hizo tukiwa uwingereza malechela akiwa balozi uk naumia Sana .
Naomba mwenye mashairi yake video zipo utube .
I shall sing sing my song lalalalalalaaaaaaaaaa
Lalalalalalaaaaaaaaaa
I shall sing sing my song .........
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti.
Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau.
Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
Habari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Je, wimbo huo ulikuwa...
Lejendari wa muziki wa Reggae Bunny Wailer, ambaye ni miongoni mwa waasisi wa kikundi maarufu cha Reggae kiitwacho Wailers, ambacho kilimuinua Bob Marley kwenye hadhi mziki wa ulimwengu, amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya...
Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba.
Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo.
"Parapanda italia parapanda,
Parapanda italia parapanda"
Mwenye kujua au mtaalamu wa nyimbo anisaidie...
Jaman habarini ningependa kuuliza kama ambavyo tumezoea kila siku wasanii karibia kote duniani huimba nyimbo kwa ajili ya kuwasifu wakina mama. Je ningependa kuuliza kuna mtu ata mmoja anaujua wimbo wowote ulioombwa kuwasifu wakina baba maana sio kila siku tunasikiliza za kuwasifu wakina mama tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.