Mbona kwenye interviews nasikiaga YES, TO BE HONEST, nk, lakini sijawah sikia nyimbo kwa kizungu mwanzo mwisho..
Achana na zile wanataja vijimaneno viwili vitatu tu.
Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini?
Lakini ni kwamba orodha ya nyimbo zipatazo 46 zimeandaliwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Biden, taarifa...
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert...
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.
Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu.
Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo
Hili ni la pili baada ya lile la Cocacola la kuonja msisimko. Mwenye nalo la Pepsi atupie hapa
Kila Mara nisikiapo wimbo huu wa mahadhi ya ki Swedish kutoka kwa Abba huwa nakukumbuka wewe. Umetutoka miaka kadhaa nyuma kipindi Kama hiki.
Ulifanya utoto wangu kuwa remarkable. I love U Halima, ungalikuwa Dar ningalikuja ingawa hunijui. Msalimu Jackob Tesha, Tumbo lisasi na Ezekiel Malungo...
habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha..
Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu..
naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia
heri ya mwaka mpya
Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?
Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...
Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana?
Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae...
wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020...
We taja tu hata kama....
We taja tu.....
...nimesema we taja tu...
Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie..
2020
Countin down
Habari za kwenu Wana jf?
Msaada tafadhali wa wimbo wa dini jina linaitwa "Unitume Mimi" yani Wanaume kwenye huu wimbo wanaimba kwa sauti kubwa sana harafu ina beat ni hatari,
Shida ni ninapo search nakuta nyimbo zingine pia zina jina hilo hilo la Unitume Mimi ila sijajua ni kwaya gani...
Nautafuta wimbo wa msanii anayeitwa Clean bandit na Sean Kingston unaitwa,rockabaye
Tafadhali mwenye nao aniwekee hapa maana nimejaribu kugoogle naupata ila nashindwa kuudownload
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
Kwa ufupi mwaka huu pamoja na kuwa wa mabalaa ila kwa upande wa burudani hasa mziki imesonga kama kawa. Shiriki nasi wimbo zilizobamba sana kwako kwa mwaka huu.
Mimi: Dear God; - DAX
Lyrics;
I just want to make this clear
I am a believer
But sometimes it gets hard
My name is Dax
(Dear God)...
Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli.
Jana watoto wengi walipata vipaimara sasa kuna Nyumba moja walikodisha mziki ambao sauti Kitongoji chote ilizizima kana kwamba kila mwanakitongoji kavalishwa headphone kwa ile mdundo.
Mdundo...
Huyu jamaa alikuwa ndiye mchoraji wa katuni maarufu ya baba ubaya kwenye Gazeti la Kiu kabla ya kuacha kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine. Sijui kama hili gazeti bado lipo mtaani?
Alikuwa rafiki yake Sugu, na nakumbuka alitoa kibao mwanana kinachojulikana kama Kura yangu. Kilikuwa...
ANGALIZO kwa Msanii MARIO.
MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai 2020. Ningeweza kukuweka DETENTION lakini Mimi simuuaji, naomba acha hiyo tabia buni vya Kwako bwana...
Wanajamvi, nakuja kwenu kutaka msaada kwa wataalamu wa fasihi kuhusu ujumbe uliomo katika wimbo uliotajwa hapo juu. Kiukweli Mrisho Mpoto namkubali sana kwa mashairi yake - tatizo tu sipati ujumbe sababu ya mafumbo yaliomo katika mashairi yake.
Nakuja kuomba yeyote anayeelewa ujumbe uliomo...
Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba".
Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.