Kenya wameanza hizi Mambo kitambo , huu wimbo maarufu wa malaika asili yake ulitungwa na mtanzania Adam Salim Ila Kuna mkenya enzi hizo bwana fadhili William anadai Ni wake c kweli, hii kiswahili Ni yabongo. Someni historia mjue ukweli.
Malaika, the mystery, the history, the torment
MALAIKA...
Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz...
Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu wote na rika zote. Hata kama hutaki kucheza unaweza kutingisha bega tu.
Geita hapa muda huu ni jua...
NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World.
"INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this animated song to change Police forces from Don Nalimison
Habari ndugu na marafiki,
Wimbo mkali sana bado upo jikoni unasukwa vilivyo na Msanii: EllySkyWilly
Hiki hapa ni kionjo chake tu.
Pia unaweza kuusikiliza youtube kwa mbaliii upate walau kuburudika.
Ila ngoma bado haijatolewa bado inaandaliwa zaidi.
Wakati tunaendelea kusubiri audio na...
Wimbo wa Yanga ulioimbwa na Harmonize umeushusha wimbo wa Simba na kuwa Number One trending kwenye youtube; hata hivyo Mondi hajakubali na hivyo amelipia post ya facebook (sponsored) ili kuutangaza wimbo wake wa Simba na pengine aweze kumpiku tena Konde Boy
Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu maneno.
Huo wimbo wa Yanga ungeimba kwa mahadhi tofauti na singeli ungeenda mbali sana, Ila kwa...
Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi...
Hivi nchi hii, awamu hii ya uchumi wa kati, yaani ukiimba wimbo wa Taifa wakati unapandisha bendera ya chama cha siasa ni kosa lisilokuwa na dhamana? Wanasheria hebu tusaidieni.
Ndugu zetu pichani chini wako ndani miezi zaidi ya mitatu bila dhamana huko Singida kisa waliimba Wimbo wa Taifa...
Roma Mkatoliki ameshusha mzigo mpya YouTube. Moja ya mistari katika wimbo wake mpya Ni "wakati wa JK tulipinga sana ila hatukupigwa risasi wala kutekwa"....."Nani alijua Tundulisu atapona?"
Huu wimbo unakuja kipindi ambacho Chama cha Mapinduzi kimeapa kutotumia wasanii katika shughuli za siasa...
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu.
" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "
Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu.
" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? "
Msaga Sumu anaendelea.
" Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi...
Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC
Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili
Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including:
the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned
alternative words cannot be substituted for...
CHADEMA WAMEONYESHA UBINAFSI: NI KUHUSU WIMBO WA TAIFA.
Na, Robert Heriel
Nimesikitishwa sana na kile nilichokiona leo kwenye mitandao ya kijamii. Ni video moja ikiwaonyesha wanachama wa CHADEMA wakiimba Remix ya wimbo wa Taifa.
Kuimba Remix ya wimbo wa taifa sio kosa na wala sina neno nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.