Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.
Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.
James Dandu baada kuishi...
Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa Marekani anayejiita Dj Khalid
Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani
Anachokiimba sasa kwenye huo wimbo wake ahahah ni kituko, nyimbo nzima yeye atasikika mwanzo akisema "Dj Khalid.. Another...
Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii.
Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri.
Hints;
1) Ndani kashirikishwa Juma nature.
2) Huo wimbo ni mpya.
3) Ni dizaini ya nyimbo Kama za kina C Bella.
4) Baadhi ya maneno huko ndani- - Kiitikio...
Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa haijajulikana ni kipengele kipi cha hakimiliki kilichokiukwa lakini tetesi zinasema ni shutuma za...
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
Time management, tuokoe muda wa kuimba wimbo mrefu bila sababu.
Afrika (AU) ina wimbo wake, SADC ina wimbo wake na East Africa ina wimbo wake pia hivyo Tanzania hatuna sababu ya kurudia kuimba wimbo wa kuiombea Africa kwenye wimbo wetu.
Kufanya hivi ni kurudia bila sababu kile kinachofanywa na...
Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba,
"Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena"
Hayati mpendwa Magufuli
Kipindi chake duniani
Japo kilikua kifupi
yale alomwangazia, ameyatimiza kikamilifu
Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamqe hatitamuona tena"...
Salaam wakuu.
Jana nilikuwa msibani, kuna wimbo niliusikia melody na mashairi yake yalinivutia. Bahati mbaya nimeufuta kimakosa baada ya kurekodi.
Baadhi ya maneno yake ni
'Mwamini Mungu ewe mwandamu kwa roho na moyo mmoja
Usijigambeee, usijitapee'.
Ni wimbo wa kwaya na si mtu mmoja na lead...
Mzuka wanajamvi!
Nilikuwaga nausikiaga kwenye redio sana kipindi cha nyuma. Muda wote huo mimi nilidhani unaitwa 'wuu-huu' kumbe unaitwa walk of life umeimbwa na kundi flani Dire Straight. Nimeshtukizia tu nauona youtube usiku huu. Radio one walikuwaga wanauchezaga sana.
Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure.
Kwa level za wimbo wa...
Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo.
Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public?
Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
Intro: Nviiri the Storyteller
(Ohh, mmh)
Ohh
What a waste
Oh, Lord
The Storyteller, ayy
Verse 1: Nviiri the Storyteller
What a waste
Baby tumejiseti, we on the highway
Tukafunga breki, tukaanza bishana
Asking, “Who is Diana? Vipi mnajuana?”
I swear tumeji-betray, baby tumejiseti
‘Cause love...
Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna
----
Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.