Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao!
Kufuzu makundi klabu bingwa kanuni iyo iyo ndio iliyowabeba na kuwanusuru wasitupwe nje ya michuano dhidi...
Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
Adolphe na ngai ngai na ye epa na yo
Po o apaiser ngai motema unième fois
Amour e rendre ngai veuve yo vivant
Mon amour tue-moi une bonne fois Adolphe
Aah Papa na leli réponds-moi pardon chéri
Cimetière réservé libulu ba sombi caveau
Famille ba lembi ko consoler ngai po naza mourante (déjà)
Aah...
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.
Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma......
Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue?
Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba
"Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe
Ninapojitazama mimi sistahili
Ninazo dhambi tele
Shetani kanisonga
Yesu uniokoe
Unishike mkono bwana
Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.
Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla.
Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo.
Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya.
Ni hayo tu dadake
Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu.
Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu.
Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
Salaam Wakuu
Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya.
Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa.
Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo.
Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza...
Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili.
Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa."
Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye...
Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania.
Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
Najitahidi kushusha Hasira za tokea Jana Jumamosi Saa 12 Jioni na hadi Usiku huu wa Saa 4 leo Jumapili bado tu hazijapungua kwa Draw ya Simba SC huko Jijini Ndola nchini Zambia.
Ukiwa ni Wimbo wa Kikongo ( Rhumba au Sebene ) nitafurahi zaidi kwani ndizo Nyimbo ambazo huwa nikiwa Nimekwazwa...
Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯%
Ukiujua...
Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti….
Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
Wana jamvi,
Ni matumaini yangu wote hamjambo.
Lengo la hii thread ni kuhusiana na wimbo wa washiriki wa kanisa la Mbarikiwa Mwakipesile wa kanisa la Kikosi cha Injili huko Mbeya.
Kibao hiki kilicholeta shida kinaenda kwa jina "Tatizo wanatuona nyani" ambao ndani yake wamejaribu kuelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.