Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.
Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson.
Baada ya...
Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu.
Wimbo ni mzuri sana ,mashairi mazuri melody Kali Yani kwa kifupi hauchoshi kuusikiliza.
Huyu kijana kwa kweli tumpe...
Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu.
Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima.
Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
Golden tz - Lonely.
Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata.
Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
Kama wangekuwa au wana akaunti YouTube, wangekuwa na mamilioni ya viewers na wangekuwa wanajiandaa kuvuna mamia ya mamilioni.
Nadhani watu wameona kipaji cha muziki cha hali ya juu, ni wazi Watanzania na Waafrika wamechoshwa na nyimbo za ovyoovyo za wasanii wetu, wanataka vionjo vya Kiafrika...
Kuna watu ambao hawajapata elimu ya Kwanini NEMC inapambana na Bar na Hotel zinazopiga Kelele kisha wakifungiwa wanakimbilia kwenye kichaka cha Muziki na kudai NEMC inakataza na kuzuia Muziki ili wapenda Muziki wawaunge Mkono.
Ukweli NEMC inataka watu wapige Muziki kwa sauti inayokubalika na...
Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu.
Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana..
1- Ushoga
2- Umalaya na Kuuza Miili
3-...
Sina mengi..
Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini nikisikia hata hapa Bakanja inapigwa lazima ni-feel amani kabisa na kutingisha kichwa polepole.
Long...
Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia
(a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao?
(b) Au ndo kusema kuwa barua kutoka BASATA zilisambazwa sehemu husika kimya kimya pasi na taarifa kwa umma?
Wacha...
Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi.
Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi kinachoangaliwa ni kuvuka kwenda hatua inayofata ya nusu fainali aijalishi umevukaje, na mafanikio yako...
Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki.
Je, taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema litaanza kuwachukulia hatua wananchi wanaokaidi kutii sheria za nchi kwa kutokuwa na utayari wa kusimama na kuimba wimbo wa taifa kwenye shughuli za kiserikali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema leo Ijumaa Aprili 21, 2023 ikiwa ni...
Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda.
Hakika baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.