Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu...
Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu
Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
Baada ya moonlight serenade 👇👇👇
Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo mwisho. hii ni express version kwa sababu bado sijaridhishwa na jinsi ninavyoisikia lakini bado...
Hello bosses and roses,
Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.
Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
• Quincy Jones
• Lionel Richie
• Stevie Wonder
• Paul Simon
• Kenny Rogers
• James Ingram
• Tina Turner
• Billy Joel
• Michael Jackson
• Diana Ross
• Dionne Warwick
• Willie Nelson
• Al Jarreau
• Bruce Springsteen
• Kenny Loggins
• Steve Perry
• Daryl Hall
• Huey Lewis
• Cyndi...
Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering.
Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu...
Song: Moonlihht Serenade
Genre: Hip hop
Ukweli nilikaa mwaka jana mwishoni na katika kutafakari juu ya jambo husika nikasema niandike wimbo. Sina ujuzi wa uandishi wa nyimbo (rap au kuimba) ila mimi ni mwandishi mzuri tut wa mashairi na simulizi pia.
Baada ya kuuandika nikasema huu wimbo kwa jinsi ulivyo na ujumbe wake, msanii ambaye...
Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu!
Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
Say nobody fit to stop my shine
I no fit die ’cause it’s not my time
Man, I’m on my grind
And na only money dey my mind
Sey na only money dey my mind
Oh-oh-oh
See, I don’t care about no enemies
They envy me, they tryna get to me
But na only money dey my mind
Sey na only money dey my mind
Oh, eh...
Huyu mwanadada Libianca ni mwanamuziki wa Cameroon, na mwaka huu ametoa wimbo uitwao PEOPLE. Binafsi nimeusikiliza mara kadhaa na kutambua kwamba huyu dada ana kipaji kikubwa mno cha uandishi na uimbaji. Mashairi ya huu wimbo yana ujumbe mzito sana na ametumia mahadhi ya Afro-Fusion (Huku...
Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo.
Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani?
NI DAMU IDONDOKAYO
Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
Mdogoangu Chibu umeyakanyaga kwa hasira zako za kupigwa moja pointi saba bilioni na wewe ukaamua kuwasema kiaina hivi na kusahau kwamba na huko utawalani kuna watu wenye miakili mingi kama wewe au hata wakakuzidi kabisa kiakili?
Anyway, umetuwakilisha vizuri sisi walala hoi kumsema Zuena huenda...
Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
Na Vincent Mwakisyala
Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na una tafakari itakayokuvuta kwa Mungu moja kwa moja. Nikitafakari wimbo huu namkumbuka yule mgonjwa...
Nimeskiliza wimbo wa Champion wa FireBoy DML & D Smoke, kuanzia beat, melody na kila kitu ni kama Champion wa Kontawa, hivi wasanii wetu wanafeli wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.