Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube.
Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi.
Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote.
Ni kibao cha zamani lkn matata sana mpiga solo abebwe juu ashangiliwe sijui jina nani kaliungurumisha Solo vinginevyo...
Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona...
Kazi ya mziki wa dansi Hawa waheshimiwa waliutendea haki hasa kuishika hadhira na kupenyeza ujumbe na mafunzo kwa jamii.
1.Katika wimbo huu unakutana na mtunzi Kakere Belesa(nafikiri huyu alikuwa anatokea tanga)RIP.Alikuwa na bonge la idea na ujumbe ambao mpaka sasa unaishi Ni Mara nyingi...
Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur.
Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada
Wimbo wenyewe unaimbwa...
"Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2
Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo
Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo
Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo
Sina...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari.
Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7
Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha...
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.
Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
amavubi gfsonwin
amkeni
basata
ccm
dhidi
king'asti asprin
kuacha
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mama samia
maua
mpya
nani
ney wa mitego
nigeria
roma
roma mkatoliki
samia
serikali
ujasiri
ujinga
ukweli
ukweli mchungu
wimbowimbo mpya
yangu
Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama...
Sijui nitaupataje.
Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno:
"Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa nini.....hawakuamka wazima....”
"Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.