Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson
Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa.
Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo .
Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee.
Yuki wapi aliyesema uzee...
Bila shaka mko vizuri wakuu.
Huyu B-boy ukimskiliza vizuri utagundua ako na kitu kwenye namna anavyotengeneza midundo yake.
Sijajua ni labda kwakua wako na muunganiko mzuri na huyu kijana Harmonize au ni kweli anauwezo mkubwa kwenye midundo ya aina hii.
Kwenye huu wimbo wa "me too" alitulia...
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa.
=====
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya...
Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa"
She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake
https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT.
Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza....
Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms
Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu zifuatazo: Pesa zimeisha mfukoni mwako. Umeachwa na mke wako au mme wako. Unaumwa, umetibiwa, lakini...
Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wote wawili wanamchuano mkali...
Wimbo huu wa Dizasta Vina ft G nako "Utaliimba Jina Langu," unachambua masuala ya maisha, kifo, na umuhimu wa kujitambua, pamoja na changamoto za maisha. Kila kipengele cha wimbo kina maana nzito na kinaangazia hali ya msanii kwenye maisha, mahusiano, na mazingira ya kijamii. Hapa chini ni...
Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema
."walimwita mwanajua maana alijua yvote,,
hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,,
hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita...