Wasalaam Wakuu, Nimeona hiki kisa kilichoandikwa kwenye Agano la kale, Nimeamua kushare nanyi hapa ili mmpate kuelewa kwamba Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani. Hapa katika kisa hiki tunaona jinsi vile Nabii Daudi alivyomuua Goliathi jina lake lilikuwa maarufu na aliimbwa na kushangiliwa na...