Wasalaam,
Jamani hali ya maisha imekua ngumu, kila kukicha mikosi.
Kila dili linafeli, ukiwa na shida marafiki wanakimbia, ukiomba msaada wanadhani unawakejeli hawakupi.
Ukiwaza kuroga upate pesa za ndago roho inasita maana umelelewa katika ukristo mpaka ndani ya moyo wako.
Nikijipa moyo...
Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi.
Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3
Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika...
Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula.
Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂
Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali...
Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na kisha kujijeruhi.
Rwegasira anapatiwa matibabu hospitali ya Wilaya ya Muleba Rubya akiwa chini ya...
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.
Ndugu zangu, naombeni ushauri wenu wa mawazo.
Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha...
Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya...
Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana .
Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja ..
Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya
Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama...
Sijajua tatizo ni nini kwa wadada wa siku hizi unakuta una urafiki na msichana halafu inafika hatua ukimuelezea hisia zako anazingua na hataki kabisa hizo story za mapenzi yeye anataka muwe marafiki tuu au kaka na dada.
Basi kwa ustaarabu unaamua muwe kaka na dada ambao mnasaidia katika shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.