wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Marekani inaionea wivu Urusi, Pamoja na vikwazo bado inapata pesa zaidi sasa kuliko hapo kabla. Sasa inawaza kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya Urusi

    Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi? Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
  2. MSAGA SUMU

    Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea. Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri Gwajima: Wanaume mnajitengenezea ‘stress’, punguzeni wivu

    Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka baadhi ya wanaume ambao bado wana mfumo dume wa kunyanyasa wanawake kuacha tabia hiyo hasa kwenye masuala ya uchumi. Dkt. Gwajima ameyasema hayo mjini Morogoro Wakati akizungumza kwenye Kongamano ambalo...
  4. JanguKamaJangu

    Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga. Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya...
  5. Escrowseal1

    Watanzania kwa pamoja tuzilinde rasilimali zetu za nchi kwa pamoja na kwa wivu mkubwa sana

    Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo. Leo nimekutana na waraka wa serikali unaoruhusu uuzwaji wa wanyamapori. kwa u vulnerable ule ule ni lazima hii iwe work up call kwani serikali...
  6. hamis77

    Kamati Kuu CHADEMA ina wivu na Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    Kama hizi nafasi zingeruhusu na wanaume basi huenda Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu wangetimba bungeni Kwasasa wanachopambania ni Wote wakose Mtu Kama Msigwa, Sugu, Lema na Heche kama wangeambiwa wavae sketi wajipeleke bungeni kwa nafasi hizo 19, wasingekataa Hizi sarakasi zote ni kutaka WOTE...
  7. Melki Wamatukio

    Wivu wake umefanya anione mbaya

    Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na mwanadada aliyetoka kijijini! Hata kiswahili chake hakijakomaa kivile! Kama kawaida yetu mabaharia...
  8. M

    Wivu wa Wassira kwa Warioba hadi kwenye Katiba Mpya. Wapinzani hatumaanishi Katiba ni mali ya Mzee Warioba

    WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya... ''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
  9. Poker

    Ni kwanini Wanawake wasio na wowowo wanaroho ya wivu sana na hawajiamini?

    Hawa wanawake vimbaombao wenyewe wanajiita modo! Wana wivu na hawajiamini kabisa shida ni nini, mbna wenye wowowo huwa hawana wivu na wanajiamini! They are soo insecured
  10. Mwasapile

    Nina wivu na mchepuko

    Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana. Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa. Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi...
  11. Poppy Hatonn

    Wivu wa Mbowe ulivyompeleka mahabusu

    Mbowe kila siku alikuwa anasema anawaonea wivu CCM. Tumeona wote yaliyomkuta. Amekaà mahabusu siku mia. Vitabu vya Dini vimeeleza,without equivocation,bila kigugumizi,kwamba mtu hatakiwi kuwa na wivu. Sasa naona kama vile kuna watu wanapanga kumzuia Mbowe asisheherekee kutoka mahabusu...
  12. Komando kipen

    Sijui kama ni wivu au alinichoka

    Nilikua nae kwa mda wa miaka mitatu tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume amewahi, kuondoka nakurudi kwao mala 2 hii safari ya tatu. Kibaya zaidi hataki kupokea cm ananitukana matusu kwenye sms kilanikitaka kumujulia mtoto hali yake. Mara ya kwanza aliondoka alikuta sms ya jinsia yakike...
  13. Nyendo

    Waandishi wa Habari ni nguzo muhimu, walindwe

    Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk. Tasnia ya habari...
  14. Nyendo

    Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  15. BabaMorgan

    Wivu ni kielelezo cha juu cha ubinafsi alionao mwanadamu

    READER DISCRETION IS ADVISED Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti ajali za barabarani ili kuhakikisha usalama wa raia wake na kuepusha vifo vitokanavyo na ajali ni...
  16. Chachu Ombara

    Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7 Kuhusu mkasa wa mauaji...
  17. Z

    Tuzuie vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi

    Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka Kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume kuchepuka kwanza kabisa ijulikana kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Kwa asili mwanaume ana...
  18. M

    Watanzania hawachukii ufisadi bali humuonea wivu anayekula

    Watanzania hawachukii ufisadi na ukiona wanapiga kelele ujue ni wivu tu kwa mtu fulani, ukitaka kujua hilo mtafute mpiga kelele mmoja mpe nafasi uone maajabu! Mtanzania na wizi ni mtu na Nduguye hawatengani, watz ndivyo tulivyo. Ni wezi hakuna mzalendo hata sisi tunaopiga kelele tunahitaji tu...
  19. K

    Wivu wa mchepuko unataka kunitoa roho

    Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa. Nikajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vile huku...
  20. The Sunk Cost Fallacy

    Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

    Heri ya mwaka mpya in advance.. Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku. Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen. Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja...
Back
Top Bottom