Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe.
Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
humu kwenye hili jukwaa ukiweka uzi unaoelezea mazuri ya ccm,hata nusu saa haukai unaondolewa.! watu wamesahau kwamba ccm ni chama cha siasa kama vingine ila ndicho kimeshika dola.wivu wa madaraka unawafanya wapenzi wa ccm waonekane hawana haki ya kutoa maoni yao ! nyuzi zote zipewe haki sawa...
Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo.
Oktoba 21, kikosi...
Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi.
Mimi nikivusha wanawake anamaindi, kuna siku nilivusha mwanamke ile nataka kuchapa nikasikia anapiga simu. Sasa hivi kila...
Habari ndiyo hiyo! Wazee wa nusu pointi huko CAF kesho kutwa kinanuka! Poleni maana Jumapili ya tarehe 23/10/2022 hakuna jinsi, inabidi tutoneshe tu hicho kidonda toka Sudan!!
Kindetawili
Tega:
Mayor Quimby ana roho mbaya sana.
Waulize sasa watu wanao mjua huyo Mayor..
Katika watu 100 ukibahatisha mmoja ndio anamajua huyo Mayor na anatakwabia yupo tofauti na anavyoongelewa.
Wakati huo huo utakutana na watu 1000 ambao awajawahi kumuona ila wanajua mafanikio yake...
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi
Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada wa kisheria mkoani hapa inayotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC. "Njombe hii kuna...
Wazee wa kileo wamekuwa ni watu wa ovyoo, mioyo yao imejaa husda na wivu kupita kiasi hasa sisi vijana tunaopata mafanikio ya haraka, kijana anaajiriwa ndani ya muda mfupi ana nyumba na gari pamoja na vitega uchumi kibao, nyinyi ni wazee wetu tunawaheshimu sana kwa sababu nyinyi ndio babu zetu...
Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika.
Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
Maisha ni fumbo na fumbo lenyewe Lina kuja pale unapougua na hujui utapona au ndo mazima.
Kuna magonjwa yanayoeleweka yanakupa hope kwamba ni suala la mda tu mambo yatakaa sawa. Ila Sasa kuna haya magonjwa ambayo mtu unakuwa uncomfortable mda mwingi unameza dawa hadi mwili unanuka dawa.
Yani...
Habari yako,
Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu.
Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha niliwahi kusoma nae sekondari. Kipindi hicho tulikuwa na mahusiano lakini tulivyomaliza shule, mahusiano...
Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?
Uzi...
Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi.
Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
Miezi mitatu iliyopita nilikua nimekaa ofisini nikiwa naendelea na kazi zangu. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu mmoja tuliesoma wote kuwa rafiki yangu wa karibu kajiua Kwa kujipiga risasi.
Ndiyo ni Davis kajiua kisa mapenzi baada ya kugundua mke wake anatoka nje ya ndoa. Davis...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli!
Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita.
Tena wengine wanafikia hatua...
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali.
Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.