Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo!
"Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu"
"Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa"
"Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto)
Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka.
Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini.
Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao.
Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma.
Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke.
Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana.
Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana.
Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia...
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita...
Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi:
1-Mapinduzi "matukufu"!
2-Bunge "tukufu"!
Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi.
Ni kama kulikua na bia XYZ...
Imechukua muda sana kukubali kuwa sharing is giving and receiving, pia kuna kupata na kukosa na kupata tena na kukosa tena, game on.
Baada kipindi kurefu cha ujinga wa wivu kwenye mapenzi na mahusiano na wanawake sasa nimeachana na uzuzu na upumbavu wa kuwa na wivu.
Wanawake ni wengi na...
Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Nyegere
Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.
Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha...
Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu
1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Dr Kamatwa ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.
Suala hili halivumiliki
Wasalaam TZ na Dunia,
Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake.
Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali.
Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza amesema uwekezaji huo utasaidia katika usafirishaji wenye urahisi wa mizigo mbalimbali kupitia...
Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake.
Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposemwa maneno ya hekima na yanayohitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna.
Ila kwenye...
Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa.
Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.