wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshamba wa kusini

    Nimechoshwa na toto langu la kiume wivu umezidi kwa mama yake

    Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote Lakini ghafla toka huyu jamaa azaliwe hivi sasa ana miaka mitatu na nusu jamaa lina wivu kutwa kucha kunipiga makofi likinikuta na mama...
  2. Tlaatlaah

    Wivu unachochea kuongezeka hisia za mapenzi na nguvu za kijinsia

    Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi.. Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea...
  3. N'yadikwa

    Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  4. S

    Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
  6. FINANCIAL MARKET

    Zikumbatie na zilinde kwa wivu hizi rasilimali zako nne muhimu ili ufanikiwe, zinawindwa na wengi

    Rasilimali ya kwanza: ✅Uwezo mkubwa ulio ndani yako. Kila binadamu aliye hai, ana uwezo mkubwa na wa kipekee kabisa ambao upo ndani yake. Huo ni uwezo ambao akiweza kuutumia anaweza kupata chochote anachotaka kwenye maisha yake. Kwa bahati mbaya sana, wengi wanapuuza uwezo wao na kuishia...
  7. M

    Jifunze tofauti kati ya wivu na kutojiamini kwenye mahusiano

    Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi. Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote unahisi umpendaye ana njama mbaya dhidi yako kiasi cha kila siku kuwa na migogoro isiyoisha,Kutojiamini ni...
  8. Ncha Kali

    Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

    Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa. Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa...
  9. A

    Wakwe watunzwe kwa wivu mkubwa

    Wakwe ni watu muhimu kuliko tunavyodhani. Bila wao hakuna ndoa. Hivyo watunzwe Kwa wivu mkubwa kulinda heshima yao. Asanteni
  10. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  11. GENTAMYCINE

    Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  12. Crocodiletooth

    Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  13. GoldDhahabu

    Jinsi ya kuepuka kumwonea mwenzako wivu mbaya

    Mtu mmoja aliomba, "Mungu, naomba unibariki mimi na mke wangu na mtoto wangu John na mke wake. Sisi wanne tu, na si zaidi" Hiyo inatoa picha jinsi binadamu alivyo mbinafsi kwa asili. Ndiyo maana watu wengine hupika kiwango cha ustaarabu wa mtu kwa kuangalia kiwango ambacho amefanikiwa kuushinda...
  14. M

    Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  15. M

    Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  16. matunduizi

    Siri ya Mungu mwenye wivu; kwanini Mungu kuwachukua mapema wale tunaowasifu na kuwategemea kupitiliza?

    Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza. Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao. Hii...
  17. Nyamesocho

    Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
  18. de Gunner

    Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

    Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
  19. Stephano Mgendanyi

    RC Mwassa Awasihi Wananchi Kutochafua Ziwa Victoria Walilinde kwa Wivu Mkubwa

    RC MWASSA AWASIHI WANANCHI KUTOCHAFUA ZIWA VICTORIA WALILINDE KWA WIVU MKUBWA Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajat Fatma Mwassa amewataka Wananchi na wadau wa usafirishaji wanaofanya shughuli ndani ya Ziwa Victoria, kutofanya yale yote yanayoweza Kuathiri au kusababisha uchafuzi wa Ziwa Victoria...
  20. Pang Fung Mi

    Je,Umewahi kupata kipigo toka kwa kaka zake na mpenzi (demu) wako bila kosa kwa wivu tu wanakufungia ndani kwao wanakupinga kama Mbwa?

    Shalom, Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma. Huyu kijana wa Lamwai alikuwa na demu ambae huyo demu alikuwa na kaka zake kadhaa, kuna siku mtoto wa...
Back
Top Bottom