Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa...
Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa
Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track).
Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't like the shit to me like it was buying. You buying more problems girl. Like you buying problems...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda.
Kanikubalia mwezi wa 7 huyu ila bado hajanipa papuchi. Anasema ananipima kama kweli nampenda au nataka kumchezea tu. Nimeona...
Ieleweke kwamba wachungaji hawa maarufu na manabii maarufu, Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako, Hananja, Malisa, Gwajima, Kimaro na hata yule nabii wa Arusha na wengine wengi hunena yaliyo ya Mungu ila nyuma ya pazia wanaye mfalme wao wanayemtumikia kwa uaminifu mkubwa , huku wakijifunika kwa...
Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE...
Alikuwa kawaida tu.
Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo.
Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na mkewe katika hali ya mahaba.
Alikuwa baba wa familia ya watoto wawili; kijana Isago Tshube (7) na...
Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7.
Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha...
Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa.
Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
Leo naomba niseme tu ya moyoni bila kuweka siasa.
Jamii zetu sisi kama Watanzania kwa kuishi kwangu nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Lakini nimekaa na jamii tofauti, nimetembea nchi tofauti na kuona jamii zao lakini vilevile nimeishi na watu wa jamii karibia za aina zote hapa Duniani...
Habari wakuu,natumaini mnaendelea vyema na mapumziko ya weekend!
Kuna jamaa ni rafiki yangu ana lodge hapa mjini ya vyumba saba(7). Kwenye hiyo lodge amemweka mdogoake kama msimamizi au manager kwakuwa yeye ni muajiliwa wa serikali hivyo muda mwingi anakuwa kwenye majukum ya kazi yake jambo...
Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi.
Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi".
Na madam huyu alisema angependa kumuona mumewe anampenda Kwa kumjali na sio kuonyesha kutokujali.
Naweza kusema kuwa Ni kweli...
Binadamu tunashauriwa kuepuka chuki na wivu, kwani imefahamika kuwa, tabia ya kujenga chuki na wivu juu ya binadamu mwenzako ni sumu kali kwenye mwili wako ambayo inaharibu viungo kama, moyo, figo, mapafu na hivyo husababisha kisukari, presha/ugonjwa wa moyo na hatimaye kifo.
Inashauriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.