wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DreezyD98

    Mke amuua mume kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo lilitokea Desemba 27, 2021 jioni baada ya mume kurudi kutoka matembezi huku mkewe akitaka kujua kuhusu uhusiano wa mumewe na...
  2. Nigrastratatract nerve

    Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  3. Mentor

    Waheshimiwa WMNN na IGP: Magari ya kiraia kuweka taa za dharura (siren)

    Au ni Wivu tu? Ghafla kwa mbali nikaona gari linakuja nyuma huku limewasha taa za dharura (sirens). Sikuwa na haraka sana kulipisha kwani kama mita 100 mbele yangu kulikuwa na kizuizi cha Polisi. Nilijua hakika lazima watapunguza mwendo. Lakini pia akili yangu ilishtuka nilipokumbuka kuwa eneo...
  4. Ben Zen Tarot

    Zifahamu tabia 10 za mtu mwenye wivu

    Mara mtu apatapo mafanikio mambo mengi hutokea au hubadilika. Moja kati ya mambo ambayo hutokea ni mabadiliko kwa watu wanao mzunguka mtu huyo. Wengine humpenda, wengine humheshimu, wengine humchukia au hata kumwonea wivu.Wivu umekuwa ukitesa na kurudisha maendeleo ya watu nyuma hasa wale ambao...
  5. Frumence M Kyauke

    Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

    Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali. Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi wake ana mwanamke mwengine . Wawili hao walikua kwenye mahusiano muda Wa wiki 3. Baada ya kutambua kua...
  6. M

    Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  7. nyboma

    Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako. Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini. Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
  8. D

    Amkata mkewe mkono kwa wivu wa mapenzi

    Shinyanga. Mkazi wa Bushushu mjini Shinyanga, Debora Rwekwama (34) amekatwa mkono wa kushoto na mumewe, Jacob Mwajenga (35) ikidaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi. Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, George Kyando amesema tukio hilo limetokea Septemba 9, 2021 mtaa wa Bushushu manispaa ya...
  9. Erythrocyte

    Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

    Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
  10. barafu

    Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

    PICHA: Mnyama Nyegere PICHA: Mtu aliyedhuriwa na mnyama Nyegere PICHA: Nyegere akipambana na Simba Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa duniani. Chakula chake kikubwa ni asali,yeye hupanda juu ya mzinga wa asali na kuujambia, baada ya mashuzi yake nyuki wote hulewa na yeye...
  11. mshale21

    Babati, Manyara: Ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

    Babati. Mkazi wa mtaa wa Kiongozi Mjini Babati mkoani Manyara, Lucas Mangu (46) amefariki dunia kwa kujinyonga mara baada ya kumuua mke wake Anna Kisino (41) kwa kumpiga kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Marrison Mwakyoma akizungumza na Mwananchi Digital leo...
  12. B

    Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba

    Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma. Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee...
  13. M

    Wazungu nao wana wivu mwenzao akiwa tajiri

    Likija suala la utajiri utachukiwa tu uwe mzungu ama mswahili kutakuwa na wivu na chuki. Tumeshuhudia Diamond alivyonunua Rolls-Royce. Malaki ya watu wamesaini petion dhidi ya Jeff Beezos tajiri namba moja duniani wakinuombea kesho tarehe 20 akipaa anga za juu asirudi duniani tena abaki na...
  14. Nebuchadinezzer

    Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

    Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana. Funzo: 1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha...
  15. Clark boots

    Wanaume tuwe makini na huu wivu wetu dhidi ya Wake/wapenzi wetu

    Kusema kweli kuna kitu nimekiona kutoka kwa hawa warembo, Yaan kams pisiKali inakupenda kwa dhati na hafanyi yale ya kuchepuka alafu wewe dume ukawa huishi kutomuamini yaaan wivu kwa sana mara hivi Mara vile kwa hawa wenzetu huwa wanateseka sana na scenario kama hiyo na usipokuwa makinu unaweza...
  16. sky soldier

    Je umewahi kupatwa na wivu uliokufanya ulie, usononeke au kuwa na stress kisa mapenzi, tiririka?

    Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita. Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
  17. M

    Kwa kauli zinazotolewa dhidi ya Hayati Magufuli ni wazi kuna wenye wivu na aliyofanya kwa miaka 6 ya utawala wake

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa dhidi ya hayati Magufuli. Ni wazi kabisa kuna chuki kubwa dhibi yake. Na ukichunguza kwa undani zaidi utaona wanataka kupandikiza hiyo chuki hata kwa wananchi wa kawaida. Ukweli ni kwamba...
  18. T

    Hivi inakuwaje mama anamuonea wivu mtoto wake?

    Huu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana, kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni, (aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake), dogo kweli amepasua paper vizuri sana, baba Yale akatekeleza ahadi yake kwa...
  19. Kasie

    Am Obsessed With Your Love

    Mahabuba, Mpenz, La Aziz, My Love, My Heartbeat, My Handsome, My Best Best Friend, My Soulmate, My Man, My King, My One and Only... My Pumpkin, My Darling, My Breath... Most of All, My smile.... You know what, these are sweet nothing words from me to you. With you I find peace, natural...
  20. Nyendo

    Munde Tambwe: Sheria itungwe kudhibiti mauaji ya mapenzi

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi. Mbunge huyo ameomba mwongozo huo leo Ijumaa Juni 4, 2021 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu. Munde amesema kuna ongezeko...
Back
Top Bottom