wizara ya afya

  1. jingalao

    Wizara ya afya itoe waraka maalumu wa namna gani tiba asili inaweza kutumika katika vituo vya huduma za afya

    Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa. muongozo huu utaondoa sitofahamu mbalimbali za utaratibu wa tiba nchini.Wizara ije na sera na miongozo rasmi kuhusu...
  2. E

    Serikali na Wizara ya Afya ninaomba "FUKIZA KILA KAYA", kampeni maalumu ya kutokomeza magonjwa ya milipuko

    Tunaona nchi mbalimbali zikizalisha chanjo za magonjwa ya Corona na kuwagawia wananchi wake na kuuza kwa mataifa mengine. Sisi nasi tumezalisha Tiba za magonjwa kama hayo na tunaona kwenye mitandao ya kijamii waliozitumia wakizisifu. Ni kwa bahati mbaya sana dawa hizi zinapatikana kwa shida...
  3. Red Giant

    Nadhani Wizara ya Afya wako sahihi kusema tutumie dawa yenye vitunguu swaumu kupambana na korona

    Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona. Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
  4. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Tutafunga kila mtu kwa wizi wa dawa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote. Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
  5. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

    Wakati Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) likiwataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya corona ambavyo vimeshambulia nchi kadhaa, Serikali imewataka wananchi kutoingiwa na hofu bali wasubiri maelekezo ya Serikali. Waraka wa tahadhari wa TEC ulitolewa...
  6. kwandikwa

    Mitihani ya post intern kada ya udaktari(baada ya mafunzo tarajali), baraza haliwaamini wanachama wake?

    SERIKALI TAZAMENI KWA UNDANI SUALA HILI: Tusaidieni tafsiri ya sheria hizi. 1. "The Medical, Dental and Allied Professionals Act, No. 11 of 2017" 2. "The Medical, Dental and Allied Professionals (Internship) Regulations, 2018". 3. "The Medical, Dental and Allied Professionals (Inquiry)...
  7. Wizara ya Afya Tanzania

    Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  8. M

    Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  9. jingalao

    Yaliyofanikishwa na Dr Dorothy Gwajima ndani ya wiki chache pale Wizara ya Afya

    1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD 2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha. 3-Amewezesha viongozi wakuu...
  10. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  11. Miss Zomboko

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mchana vya malezi ya watoto (Day Care) kurekebisha kasoro kabla havijafungiwa

    Serikali imetoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya malezi vya watoto na (Day Care), kurekebisha kasoro ili watoto hao walelewe katika mazingira sahihi na kwa kujibu wa Sheria. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John...
  12. Wizara ya Afya Tanzania

    Jarida la Mtandaoni la Wizara ya Afya (Toleo la 2): Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni

    Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
  13. ngota wa nzambe

    Naishauri Serikali kupitia Wizara ya Afya kuitupia jicho Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inapitia kipindi cha ukata uliokithiri kwa sasa kiasi kwamba, inashindwa mpaka kugharimia baadhi ya vitendea kazi muhimu kama gloves, mabomba ya sindano (syringes) na vingine vingi. Hali hii imepelekea ubora wa huduma kuwa hafifu sana. Pia ulipaji wa...
  14. Cannabis

    Wizara ya Afya Tanzania yahimiza wananchi kuendelea na tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa wito kwa wananchi kuendeleza tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali ya shughuli ili kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu, kuhara damu na minyoo. Wito huo umetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi...
  15. Roving Journalist

    Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020 FULL TEXT: Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
  16. Influenza

    #COVID19 Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

    Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  17. idawa

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
  18. Erythrocyte

    Je Profesa Kabudi ahamishiwe Wizara ya Afya ?

    Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
Back
Top Bottom