Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile!
Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
Wakati Serikali ikitoa tahadhari ya viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, imeagiza utamaduni wa uvaaji barakoa, unawaji mikono na matumizi ya vitakasa mikono urudishwe katika maeneo yote.
Waganga wakuu wa mikoa, wilaya na viongozi wengine wa sekta za umma na binafsi wamehimizwa...
Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali.
Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa...
POST: HEALTH SECRETARY II – 1 POST
POST CATEGORY(S): HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
EMPLOYER: Ministry Of Health (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-27 2021-06-09
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
To provide advice on health management services at the NPHL
To assist in supervising...
(Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021.
As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
TRAVEL ADVISORY NO. 7 OF 4TH MAY, 2021
The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global epidemiological situation and emergence of new variants of viruses which cause COVID-19, there is an increased...
Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa.
Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
Nitafikiwa lini jameni, hebu tuambiwe wapi tupange foleni, sisi tumeelimika na tunafuata mbinu za kisayansi, hatupo radhi kutolewa kafara kwa misingi ya imani ya mtu mmoja, jameni dini zipo nyingi na kila mtu ana imani yake na Mungu wake, ila serikali ipo kwa ajili ya kuongoza kwa misingi ya...
Kwako waziri wetu wa Afya Dr. Gwajima.
Sijajua sababu ilofanya hadi muweke bei ghari hivyo kuoata hichi kipimo kwa wanaosafiri, kipimo ni 235,000 Tsh. (100 USD) , hii sio sawa kiukweli mnatuumiza sana sisi wa vipato vya chini ambao tunapata visafari vya dharula katika kutafuta maisha, huu ni...
Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni.
Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TAARIFA KWA UMMA
TAMKO LA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YASIYOAMBUKIZA NCHINI
Dodoma, Jumatano 24 Februari, 2021.
Ndugu Wananchi, kila mwaka kipindi...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus.
Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
Bado naendelea kuwashangaa wizara ya afya, kiongozi wetu mkuu kila mara anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari.
Mara ya mwisho nimemsikia raisi wetu tarehe 19.02.2021 akirudia msemo huu, sasa sijui mnasubiri raisi ndiye afafanue tahadhari anazozisema ni zipi?
Rais ameendelea kusema mwaka...
Hivi Wizara ya Afya bado ipo? maana imekuwa kimya sana kama vile kila kitu kiko sawa.
Mimi binafsi ninachokiona kwenye wizara hii ya afya ni kama ka mgomo baridi vile,
Nikisikiliza kwenye mitandao ya kijamii naona wanasiasa ambao hawana timu za kuchezea msimu huu wa 2020/2025 wakizusha tafrani...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe amewaasa Wananchi kuacha kuzusha maneno ya kuwa hospitali zimejaa na kusababisha wagonjwa kutofika ili kupatiwa matibabu
Profesa Mabula amesema hayo leo FebruarI 12, 2021 mkoani Arusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.