wizara ya afya

  1. Analogia Malenga

    Februari 4: Siku ya Saratani Duniani (World Cancer Day)

    Siku ya Saratani huadhimishwa kila Februari 4. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mwaka 2021, takriban watu Milioni 20 walibainika kuwa na Saratani na wapatao Milioni 10 walipoteza maisha Wataalamu wa WHO wanasema idadi hiyo itaendelea kuongezeka miaka inavyozidi kwenda, japokuwa...
  2. Rebeca 83

    Wizara ya Afya, hii inakuwaje?

    Hello JF... Naomba kuuliza kwa nini wizara ya Afya haiko responsive kukitokea milipuko ya magonjwa??..... Week iliyopita karibu kila mtu Dar es Salaam alikua na mafua, nilitegemea serikali kuja public kama ni kitu serious tujue jinsi ya kujikinga, ama ni kitu tu cha kupita. Sometimes we just...
  3. M

    Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  4. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

    Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
  5. byakunu

    Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

    Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi, kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
  6. jingalao

    #COVID19 Wizara ya Afya ikishirikiana na Wizara ya Viwanda ituletee kiwanda cha chanjo ya COVID-19

    Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule ili nchi isiingìe kwenye deni lisilo la lazima.
  7. beth

    #COVID19 Wizara ya Afya: Kuna tishio la Wimbi la Nne la Virusi vya Corona

    Wizara ya Afya imesema hivi karibuni kumekuwa na tishio la kutokea Wimbi la Nne kutokana na taarifa za ongezeko la visa vipya na kuwepo kwa wasafiri wengi ndani na nje ya Nchi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka Kutokana na kuibuka aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho Omicron...
  8. Wizara ya Afya Tanzania

    Mafanikio ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
  9. Roving Journalist

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  10. Analogia Malenga

    Mwaka wa Fedha 2019/20 Wizara ya Afya ilitumia Tsh. Milioni 257.9 nje ya bajeti

    Ripoti ya Uwajibikaji iliyoandaliwa na Taasisi ya Wajibu imebainisha, kushindwa kutekeleza mipango kwa mujibu wa bajeti kunaongeza uwezekano wa ubadhirifu na vitendo vya rushwa Imezitaja taasisi 6 ambazo zilitumia fedha Tsh. Bilioni 23.4 nje ya bajeti kwa mwaka 2019/20 ambacho ni kinyume cha...
  11. Huihui2

    Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

    Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga. Ushaur; Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo. Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
  12. Memento

    #COVID19 Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

    Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
  13. GenuineMan

    Uchambuzi wa sera ya kujitolea katika sekta ya afya

    Utangulizi. Serikali kupitia wizara ya afya imezindua sera ya kujitolea katika sekta ya afya. Utaratibu huu utawahusu wahitimu wa ngazi mbalimbali (astashahada, stashada, shahada nk) na fani mbalimbali za afya kama vile madaktari, wauguzi, wafamasia, wataalamu wa maabara n.k. Watakaopata nafasi...
  14. msovero

    TAMISEMI na wizara ya elimu igeni hili kutoka wizara ya afya

    Katika jitihada za kupunguza tatizo la upungufu wa watumishi wa afya, serikali kupitia wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kuajiri kwa muda wahitimu wa kozi mbali mbali za afya ambao watakuwa wanafanya kazi kwa kujitolea katika hospitali na vituo vya kutolea huduma Ni mpango mzuri kwani...
  15. U

    CCM yaitaka wizara ya afya kuacha utendaji wa mazoea

    Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo. "Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
  16. S

    #COVID19 Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  17. D

    Serikali yawataka wanaotoa tiba kwa kutumia vyakula kuendesha shughuli hizo kwa kibali cha Wizara ya Afya

    Dodoma. Serikali imesema watu wanaojiita watoa tiba kwa kutumia vyakula wanatakiwa kuendesha shughuli hiyo kwa kibali cha Wizara ya Afya. Katazo hilo limetolewa na mganga mkuu wa Serikali, Dk Aifello Sichwale jana Ijumaa Septemba 11, 2021 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa...
  18. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
  19. J

    Waziri Faustine Ndugulile atunukiwa Tuzo ya umahiri na Wizara ya Afya

    Aliyekuwa naibu Waziri wa afya katika Serikali ya awamu ya 5 na ambaye kwa sasa ni waziri wa Tehama Dr. Ndugulile ametunukiwa Tuzo ya umahiri na kupromoti afya na wizara ya afya. Dr. Ndugulile ndiye aliyetoa tahadhari juu ya kupiga nyungu kienyeji hatua iliyopelekea atumbuliwe. Jana Askofu...
  20. U

    Afya za wanafunzi takribani 2,500 zipo hatarini kutokana na ukosefu wa maji kwa zaidi ya siku 21

    Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000. Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
Back
Top Bottom