wizara ya afya

  1. Nguruka

    AFYA: Wizara ya Afya inasemaje kuhusu utafiti huu?

    Kuna tafiti imechapishwa katika tovuti ya https://www.mdpi.com/2079-6382/11/9/1222?type=check_update&version=2 unaohusu upatikanaji wa mabaki ya dawa katika nyama za kuku tunazokula hususani wale wa broiler. Utafiti umefanyika Ilala na Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Utafiti huo umebeba...
  2. R

    SoC02 Uraibu Mpya

    Naitwa Mundu nimezaliwa kwenye familia ya watoto saba. Baba yangu alifukuzwa kazi sababu ya ulevi na upinzani wa kisiasa mwaka 1996, mwaka mmoja tu baada ya mimi kuzaliwa nikiwa mtoto wa nne kati ya watoto saba. Familia haikuwa na amani sana mwanzoni kwa sababu ya ulevi uliopindukia na msongo...
  3. Deogratias_01

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...
  4. BARD AI

    Rais Samia: Wizara ya Afya ituambie tuendelee kuvaa barakoa au tupumzike

    Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa. Amesema “Inaonyesha watu wamechoka nazo, niwaombe sasa Wizara ya Afya waangalie mwenendo huu tunaokwenda nao, lakini watathmini hali...
  5. E

    SoC02 Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini

    Afya ni inajumuisha utimamu wa kiakili, kimwili na ustawi wa jamii, na ni nyenzo muhimu kuhakikisha uwepo wa nguvu kazi itakayosaidia katika maendeleo au mapinduzi ta kiuchumi. Nchini Tanzania sekta ya Afya inakumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa tiba na wataalamu katika...
  6. R

    Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  7. EINSTEIN112

    NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  8. Roving Journalist

    Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani

    Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani
  9. MAKALANDEI

    SoC02 Wizara ya Afya chukueni hili kwani afya zetu, anguko letu ama maendeleo yetu

    Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo katika jamii?.Tazama jinsi mnyororo wa afya ulivyo na athari katika jamii,iwapo mtu mmoja ambae ni...
  10. K

    Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  11. C

    NACTVET chunguzeni wasimamizi wa mitihani ya Wizara ya Afya

    Wapo wasimizi wanashiriki kila zoezi la kazi maalum kwa sababu ya connection tu lakini si waadilifu. Baadhi wamekuwa wakiomba fedha ili wawabebe wanafunzi na wamiliki wa vyuo wasio na maadili huwakubalia. Najua kwa sasa kuna watu wa ofisi ya Rais wanahusishwa katika zoezi isipokuwa ninyi mna...
  12. beth

    Wizara ya Afya: Ugonjwa wa Mkoani Lindi ni Homa ya Mgunda (Leptospirosis)

    Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha ya Kiswahili inajulikana kama Homa ya Mgunda...
  13. Cheusi Mangala

    Nimepata ajira Katavi, naomba kujua mazingira ya huko

    Jamani nimepangwa hospitali ya rufaa ya mkoa Katavi. Naomba kujua mazingira ya hii hospitali yakoje? Je ni mpya au?
  14. E

    Ushauri: Nikaripoti Wizara ya Afya Chato Zonal Hospital au Milioni 70 nifungue health center yangu?

    Wakuu nipo katika hiyo dillema. Kusema kweli Mimi ni business oriented man. I judge everything in terms of money, not how it makes my ego feel. Sasa Wizara ya Afya imenipangia Chato as Medical officer 2. Wakati namaliza internship kuna boss is my friend akatokea kuniamini na akawa...
  15. Dx and Rx

    Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi. Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
  16. Redpanther

    Wizara ya Afya na TAMISEMI mbona mko kimya sana?

    Habari gani ndugu wanajamvi la Habari mchanganyiko. Ngoja niende moja kwa moja kwenye Maada. Mnamo aprili 16 2022 kulitangazwa nafasi za Kazi upande wa Afya na Elimu/Ualimu. Ni miezi sasa imepita toka dirisha la kutuma maombi lifungwe. Huenda mimi ni mgeni au sina uzoefu sana kwenye haya...
  17. Azathioprine

    SWALI: Je, Una imani na Ujuzi wa Kitaalamu wa watoa huduma za Afya Tanzania?

    Habari wadau wa JF? Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa. Pia, unaweza kuchangia chochote...
  18. JanguKamaJangu

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya ataka Mganga Mkuu Wilaya ya Kigoma aondolewe kwa kutokuwa muwajibikaji

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amelalamikiwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma ya afya na kukosa uwajibikaji pamoja na kuonesha utovu wa nidhamu Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi akiwa katika ziara Mkoani Kigoma ambapo pia inadaiwa mganga huyo...
  19. COARTEM

    Rais, Idara ya Afya OR-TAMISEMI ihamishie Wizara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Serikali ili kuongeza Uwajibikaji, utakuja nishukuru baadae

    Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI). Ukienda Halmashauri na Mikoani...
  20. Lady Whistledown

    Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
Back
Top Bottom