wizara ya afya

  1. GENTAMYCINE

    Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

    GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi...
  2. K

    Wizara ya Afya angalieni namna ya kuboresha kondomu zenye nembo ya (ZANA)

    Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana. Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
  3. R

    Hali ya usafi kwenye saluni unayoenda kusuka au kunyoa ikoje?

    Wakuu, Naamini wote tunaenda saluni, iwe kusuka au kunyoa, na huduma hii sio kwa watu watu wazima pekee hata watoto pia huenda saluni kutengenezwa nywele, sasa swali ni kwamba hali ya usafi ikoje kwenye saluni unayoenda kupata huduma? Wanaume, mataulo yanayohudumia wateja yanasafishwa baada ya...
  4. The Burning Spear

    Wizara ya Afya Mnasubiri kutangaa Mlipuko wa Mafua hasa mikoa ya Pwani

    Kuna mafua makali yameongezeka hasa ukanda huu wa Pwani. Nina uhakika wizara ya afya ina takwimu za kutosha. Tuambieni what is going on. Enzi zile tungesema Corona. Wizara ya Afya Tanzania
  5. Mganguzi

    Ofisi ya Mfamasia Mkuu inawanyanyasa sana wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini

    Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi, ukaguzi kila siku kwa nia ya kujipatia rushwa! Madawa yote hata yale ya kawaida ambayo tulizoea...
  6. JanguKamaJangu

    Wizara ya Afya yatoa tahadhari kwa Wananchi kipindi cha Mvua

    Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko: 1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
  7. BARD AI

    Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  8. The Boss

    Kwanini wizara ya afya iko hivi?

    Kila mara kuna tokea taarifa ambayo pengine haiko sahihi ...inaachwa mda mrefu Sana watu wanaamini na wenye kudhurika Wana dhurika halafu inapita miaka ndo wizara inakuja na tamko.... Mwarobaini...hii imani kuwa mti wa mwarobaini unatibu magonjwa zaidi ya 40 ilienea Kwa miaka kabla ya wizara...
  9. BigTall

    DOKEZO Watoa huduma wa Zahanati ya Mianzini ni jipu. Wizara ya Afya ikaangalie wanachofanyiwa Wajawazito

    Kuna hii Zahanati ya Serikali ipo Mburahati hapa Dar es Salaam, inafahamika zaidi kwa jina la Zahanati ya Mianzini, kiukweli huduma zao ni mbovu sana hasa kwa hawa mama zetu Wajawazito. Awali nilikuwa nasikia tu taarifa hizo kuhusu madai hayo lakini nimeshuhudia mimi mwenyewe, nilienda...
  10. BARD AI

    Wizara ya Afya kutoa Chanjo ya Polio kwenye Mikoa inayopakana na nchi jirani

    Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu. Ofisa Program Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Penford Joely amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kuhusu kampeni ya kuanza...
  11. K

    Huduma za maabara katika Hospitali Mpya ya Rufaa ya Mkoa wa Singida zinatolewa katika Jengo la Jiko na Kufulia nguo

    Katika hali ya kushangaza Mh Naibu Waziri wa Afya Mh Molleli alielekeza huduma za Hospitali ya rufaa ya Mkoa kuhama katika majengo yaliyokuwa ya kitumika hapo awali ambapo huduma za maabara na vipimo zilikuwa zinatolewa katika jengo lenye hadhi na vifaa vya kutosha. Matokeo ya kutekeleza...
  12. fundi radio

    SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  13. J

    Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?

    SEKTA YA AFYA: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini? Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya Afya siku ya Alhamisi Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
  14. BARD AI

    Majina ya walioitwa kazini na Wizara ya Afya kwa walioomba kazi 2023

    Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 21 Aprili, 2023 na kufungwa tarehe 04 Mei, 2023 kwamba taratibu za kuchambua maombi ya kazi zimekamilika. Waombaji wote waliofaulu na ambao majina yao...
  15. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
  16. AKAN

    Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  17. B

    Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  18. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri wa Afya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Afya kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24
  19. TheForgotten Genious

    SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  20. BARD AI

    Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Back
Top Bottom