wizara ya afya

  1. Copro mtego

    KERO Hospitali ya mkoa Morogoro kuna huduma mbovu na uuzaji wa dawa bila utaratibu

    Jana nilikuwa nafanya mawasiliano na rafiki yangu aliyempeleka mama yake hospitali ya MKOA MOROGORO. Aliyoniambia nilishangaa na kusikitisha sana Kwanza mama alikuwa anaumwa tumbo ameharisha kweli alipewa drip (rl) lakini mtoto wa mgonjwa alilazimishwa kuinunua ilihali mgonjwa ana bima. Mtoto...
  2. Cute Wife

    Wanachama wa NHIF sasa wataweza kupata huduma kwa kutumia namba ya Kitambulisho cha Taifa

    "NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni. "Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
  3. ndege JOHN

    DOKEZO Kuna mlipuko wa Kipindupindu Pwani ya Kusini, kwanini serikali haisemi lolote?

    Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri? Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu hawachukui tahadhari wanaendelea kusafiri. Ni hatari sana.
  4. Gemini AI

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la Wagonjwa wa Afya ya Akili nchini

    Kati ya sababu zinazochangia ongezeko la Watu wanaothirika na matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Wanaume ni pamoja na masuala ya Mahusiano, Talaka, Ukosefu wa Fedha, Ajira, Magonjwa, Upweke, Mzigo wa Familia, au Pombe kwa Wanaotumia Pamoja na kukabiliwa na changamoto zote hizo, wengi wao huwa...
  5. I

    Serikali mbioni kuanzisha Shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili ili kupunguza makali ya gharama za kibobezi kwa waathirika

    Afisa kutoka Wizara ya Afya, Asnath Mpelo amesema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho kuanza kutoa mafunzo ya shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili, ikiwa lengo ni kufikisha huduma hizo za kibobezi katika ngazi chini kwenye jamii. Ameyasema hayo leo June 20, 2024 wakati wa utoaji wa...
  6. D

    SoC04 Umuhimu wa kulipa madeni ya Hospitali hata baada ya kifo cha aliyekuwa anauguzwa

    Katika jamii yetu ya Watanzania, suala la kuzuiliwa kwa miili ya marehemu hospitalini kutokana na madeni ni tatizo ambalo limekua likijirudiarudia mara kwa mara na kuzua mijadala mikali. Wengi tunaamini kuwa madeni haya yasamehewe kwa sababu aliyekufa sasa ni maiti, na kwa mtazamo wetu, mwili...
  7. T

    SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  8. peno hasegawa

    Naibu Waziri wa Afya tunaomba Waraka Namba Moja wa Mwaka 2021 wa kutokuzuia maiti

    Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi. Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
  9. C

    SoC04 Huduma za Matibabu ya Kibingwa na Ubingwa Bobezi Nchini Tanzania: Faida, Changamoto na Mbinu za Kupata Matokeo Chanya

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
  10. Action and Reaction

    Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  11. Travelogue_tz

    Ushauri wa Wasomi: Mabadiliko ya mitaala hayahitaji hisia; kurugenzi ya Mafunzo ya Wizara ya Afya ifuate kanuni.

    Mkufunzi Mstaafu na Mbobezi wa Mitaala. Siku chache zilizopita niliona andiko katika mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari, “BILA ‘D’ TANO HAUSOMI FAMASIA” na katika andiko hilo kulikuwa na picha ya Mfamasia Mkuu wa Serikali. Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu habari ile nikagundua kuwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
  13. Roving Journalist

    Wizara ya Afya yafafanua juu ya gharama za Mradi wa Hospitali za Rufaa Mawenzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji juu ya Mradi wa Serikali kupewa fedha nyingi kuliko bajeti iliyopangwa na kuripotiwa kutokamilika, ufafanuzi umetolewa Mdau alitoa mfano kwa kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni Mei 14, 2024 ambapo Mradi wa Uimarishaji ya Hospitali...
  14. Travelogue_tz

    Serikali kuburuzwa mahakamani kuhusu wizara ya afya kubadili mitaala ya vyuo vya afya vya kati bila kufuata utaratibu

    Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
  15. Analogia Malenga

    Miradi miwili ya ajabu kwenye Wizara ya Afya

    Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na...
  16. Gemini AI

    Vipaumbele 10 vya Wizara ya Afya kupitia Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.3

    iKuimarisha huduma za kinga dhidi ya magonjwa; Kuimarisha upatikanaji na ubora wa huduma za afya zinazotolewa na vituo vya kutolea huduma za afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa; Kuimarisha mifumo ya ugharamiaji wa huduma za afya nchini; Kuimarisha huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ili...
  17. Roving Journalist

    Wizara ya Afya kutumia Tsh. Trilioni 1.3 kwa mwaka 2024/25. Tsh. Bilioni 632.2 ni matumizi ya kawaida

    Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na Matumizi Mengineyo Pia, Wizara itatumia Tsh. Bilioni 679.57 (52%) ya Bajeti katika Miradi ya...
  18. BARD AI

    Wizara ya Afya: Vifo vinavyotokana na UKIMWI na Kifua Kikuu vimepungua nchini

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000 Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
  19. James Godfrey

    SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Inatisha na kusikitisha jinsi changamoto za sekta ya afya zinavyoathiri watu kote ulimwenguni, Tanzania nchi yangu nayo haijaachwa nyuma na janga hili linalokua kila uchwao, linaloteka vichwa vya habari duniani kote, umekua kama wimbo unaojirudia masikioni mwetu kila siku, bila ubishi wengi wetu...
  20. A

    KERO Wizara ya Afya inawahujumu wanafunzi walioko masomoni nje ya nchi

    Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program), lakini nyuma ya pazia wanafunzi hao wanateseka haswa. Mimi nafanya kazi moja ya nchi huku ughaibuni...
Back
Top Bottom