wizara ya afya

  1. Roving Journalist

    Waziri wa Afya, Mhagama atembelea JKCI, asisitiza Ubora wa Huduma uendane na lugha za staha kwa wagonjwa

    Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (customer care). WAZIRI...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa kuimarisha kitengo cha mawasiliano na elimu ya afya kwa Umma

    Jenista Mhagama akabidhi vifaa kuimarisha kitengo cha mawasiliano na elimu ya afya kwa umma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Septemba 3, 2024 amekabidhi vifaa vya studio vitakavyosaidia Kitengo cha Mawasiliano na Elimu ya Afya kwa Umma kufanya kazi kwa ufanisi zaidi katika kuhabarisha umma...
  3. D

    Halmashauri ya mji wa Bunda yashindwa kutoa Tsh. 275,000 kuvuta maji shule msingi Nyabehu

    Katika kuzurura kwangu nikakatiza Halmashauri ya mji wa Bunda kata ya Guta kijiji cha Nyabehu katika shule ya msingi Nyabehu, Aibu niliyokutana nayo katika shule hii ni aibu mbaya kwa Halmashauri ya mji ya Bunda, kwenye shule hii tangu kuanzishwa kwake hakuna huduma ya maji hali inayopelekea...
  4. PMWAKA

    Waziri Mhagama na uongozi wa Wizara ya Afya, anzisheni haraka Health Information Call Center kuokoa wananchi maskini

    Kwa niaba ya watanzania, Mhe. Mhagama naomba pitia huu ushauri kuhusu wizara ya Afya na msaada kwa wananchi. Serikali chini ya Rais wetu mama Samia naomba muanzishe HEALTH INFORMATION CALL CENTER. Kuna wananchi hua wanahangaika sana wakati wamepatwa either na magonjwa au ajali wameumia nk...
  5. RUSTEM PASHA

    SI KWELI Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi na virusi vya UKIMWI

    Kuna utafiti unasambaa Mtandaoni ukionesha Asilimia 80 ya watanzania wanaishi na maambukizi ya VVU. Ni kweli?
  6. Stuxnet

    Tukubali tukatae, ila anayeiweza Wizara ya Afya ni Dr Faustine Ndugulile tu

    Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania. Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata...
  7. Ghost MVP

    Mafua na kifua ni janga kwa sasa. Nini sababu ya hali hii?

    Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo. Pia soma: Uganda: Wizara ya Afya yatoa taarifa Juu ya Wimbi la Sasa la Mafua, Kikohozi Huku Kukiwa na Hofu ya UVIKO Je, nini kinasababisha Mafua? Ukikutana na...
  8. GENTAMYCINE

    Ummy Mwalimu: Nimepokea mabadiliko kwa moyo wa Shukrani

    Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kumuamini na kumpa heshima kubwa ya kuwa, Waziri wake kwa kipindi cha miaka mitatu na nusu akiitumikia nafasi ya Waziri wa TAMISEMI na baadaye Wizara ya Afya huku akisema...
  9. Aramun

    Sekta ya Afya siyo ya kufanyia mchezo na mzaha

    Nafikiri watu timamu tunakubaliana kwamba @ummymwalimu alikuwa ni ‘mzigo mzito’ katika wizara ya afya, na alikuwa kati ya waziri bingwa wa porojo, uongo na propaganda nyingi, lakini kazi sifuri. Wametuletea JENISTA. Tunamfahamu vizuri sana. Ni mzigo na chawa mwandamizi. Kazi yake kubwa nyakati...
  10. nditolo

    Wizara ya Afya na TAMISEMI mmetukosea sana Idara ya Afya Halmashauri ya Wilaya Kibiti

    Katika hali ya kushangaza wizara na TAMISEMI imetuletea DMO kutoka Mtama DC. DMO huyu alikuwa na tuhuma lukuki huko alikotoka na ikafikia madiwani kuazimia kumtoa madarakani lakini cha kushangaza mnatuletea huku. Ilishindikana kuteua Daktari yoyote ndani ya halmashauri yetu mpaka mkaamua...
  11. ChoiceVariable

    Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa. Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024...
  12. J

    Ujumbe wa kwanza wa Jenister Mhagama akiripoti wizara ya afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo vyovyote. Waziri ametoa kauli hiyo jana Agosti 15, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  13. Huihui2

    Matatizo ya NHIF yalianzia Kwa Maamuzi Mabovu na Ummy Mwalimu Mwenyewe mwaka 2016

    Ummy Mwalimu aliteuliwa kuwa Waziri Nov 2015, ndani ya miezi 7 akaamuru Bodi ya NHIF iwafukuze kazi Wakurugenzi/ Wakuu wa Vitengo wote pamoja na DG wao kwa tuhuma za uwongo. Katika hiyo timu ya Wagurugenzi 9, nusu yao walikuwapo kuanzia NHIF ilipoanzishwa mwaka 2003, wamekuwa na Mfuko hadi...
  14. Huihui2

    Jenista Karibu Afya:; Fanya Haya Kwa NHIF

    Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
  15. ChoiceVariable

    Ummy Mwalimu: Miaka 14 ndani ya Baraza la Mawaziri, miaka 9 waziri kamili wa afya. Inatosha, apumzike!

    Pamoja na kwamba wapo Mawaziri ambao wamekuwa Barazani Kwa zaidi ya miaka 14 ila kudumu miaka 9 kama Waziri kwenye Wizara 1 tuu ni rekodi ambayo ameiweka Ummy Mwalimu. Ukidumu mda mrefu kunakupa nafasi ya kuacha legacy hasa kwenye Wizara hizi za kimaendeleo na Huduma achilia mbali Wizara za...
  16. Msanii

    Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya. Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na kusimamia sera ya Afya nchini lakini ndiyo wizara inayosimamia taaluma ya wahudumu wa Afya. Je tuna...
  17. Megalodon

    Rais Samia amedhamiria, Reforms ya kibabe kwenye Afya

    SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo. Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah...
  18. USSR

    Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  19. Dede 01

    Ifahamu homa ya nyani ama kwa kiingereza monkey pox

    Homa ya nyani ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachotoka kwa nyani. Kirusi hiki kiligundulika mnamo mwaka 1958 barani Ulaya.Ila mwanadamu wa kwanza kuupata ugonjwa huu aliupata mwaka 1970. Ugonjwa huu,dalili zake zina fanana na ule wa tetekuwanga lakini huu una mateso zaidi kama...
  20. JanguKamaJangu

    Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
Back
Top Bottom