wizara ya ardhi

  1. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yaja na mpango wa uendelezaji eneo la Sinza Dar es Salaam

    Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakuja na mpango wa uendelezaji upya eneo la Sinza jijini Dar es Salaam (Sinza Redevelopment Plan 2024 - 2044.). Hayo yamebainishwa leo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii wakati wa uwasilishaji...
  2. Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Bunge yaendelea kujadili taarifa za Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeendelea kujadili taarifa za Wizara ya Ardhi ambapo imepokea na kujadili taarifa ya Utendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi pamoja na Utendaji wa Ofisi ya Msajili wa Hati. Wasilisho la taarifa hizo limefanyika leo...
  3. Wizara ya Ardhi

    Hati mikili za Ardhi 310 zatolewa Jijini Mwanza, Waziri Ndejembi awafikia na kusikiliza wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa kuwa ardhi ni mtaji waitunzi ili iwatunze. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe...
  4. Wizara ya Ardhi

    Klinik ya ardhi yaendeshwa mtaa kwa mtaa Ilemela

    Ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Mwanza imeendesha Klinik ya Ardhi katika halmashauri ya Ilemela mtaa kwa mtaa ili kuwafikia wananchi wengi kwa haraka na kuwapatia huduma za ardhi wanazohitaji katika maeneo yao. "Kama mnavyofahamu tumekuwa na haya mazoezi ya Kliniki za Ardhi mara kadhaa, na...
  5. Wizara ya Ardhi

    Timu mbili za Wizara ya Ardhi zafuzu hatua ya 16 bora kwenye mashindano ya SHIMWI

    Michezo inatoa fursa muhimu ya kuimarisha afya na mshikamano miongoni mwa watumishi wa umma na inasaidia kuleta hamasa kwa watumishi kufanya kazi kwa tija na uzalendo kwa taifa. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 25, 2024 wakati wa...
  6. Aliko Musa

    Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha

    Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu. Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
  7. Aliko Musa

    Land Banking: Umuhimu Wa Kutambua Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Uwekezeji Wilaya Unapowekeza

    Utangulizi Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka. Kwa kawaida, maeneo ambayo hayajafanyiwa maendeleo, lakini yana uwezekano wa kuongezeka thamani...
  8. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi aagiza kufutwa hati milki ya ardhi Ruvuma

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma kuifuta Hati ya Ardhi kwa Bw. Steven Mapunda ambaye alikabidhiwa bila kufuata utaratibu katika Kijiji cha Mwanamango Manispaa ya Songea. Mhe. Ndejembi ametoa agizo...
  9. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yawatakia heri wachezaji wake kuelekea SHIMIWI 2024

    Na.Mwihava GF,Dodoma Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Sheusi Mbuli kwa niaba ya Katibu Mkuu, amewatakia Heri wanamichezo wanakwenda kushiriki michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) inayotarajiwa...
  10. Wizara ya Ardhi

    Naibu Waziri Pinda: Hekima itumike kutatua migogoro ya familia inayohusu ardhi

    HEKIMA ITUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA FAMILIA: NAIBU WAZIRI PINDA Na. Joel Magese, ROMBO Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kutumia hekima katika kupata suluhisho la migongano ya kifamilia inayohusu ardhi kabla ya kufika mbele ya vyombo...
  11. Jidu La Mabambasi

    Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

    Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu. Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila...
  12. Mr Dudumizi

    Mamlaka ya uteuzi iangalie namna ya kuwapa watoto wa mjini wizara kama ujenzi na ardhi wajenge nchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi tunapotembelewa na wageni mbali mbali kutoka Ulaya, Asia, Marekani, East Afrika, Africa yenyewe na...
  13. Lord denning

    Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

    Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili 1. Wizara ya Ardhi 2. Wizara ya Tamisemi. Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye...
  14. Aliko Musa

    BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  15. Aliko Musa

    Mambo 30 Muhimu Kwenye Kuandaa Mikataba Ya Upangishaji Wa Hosteli Ya Chuo

    Kwenye makala hii nimekushirikisha vipengele muhimu zaidi vinavyotakiwa kwenye mkataba kati ya mmiliki na msimamizi wa hosteli. Ninaamini kwa kuzingatia mambo utaweza kupunguza changamoto nyingi zinazohusiana na usimamizi wa majengo ya hosteli za wanafunzi wa vyuo. Hapa kuna sheria 30...
  16. Aliko Musa

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  17. Wizara ya Ardhi

    Mawaziri Ndejembi, Bashungwa ziarani korea kusini

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Maafisa wa Wizara hizo Septemba 07, 2024 wamewasili jiji la Seoul nchini Korea Kusini na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Mhe. Togolani Mavura kwa...
  18. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yahitimisha mafunzo ya viashiria hatarishi vitakavyosaidia katika utekelezaji wa majukumu

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi. Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya viashiria hatarishi kwenye...
  19. Wizara ya Ardhi

    Mhandisi Sanga akagua eneo la Samia Arusha AFCON City

    ARUSHA Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC). Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo Kata ya Olmot na Olasiti katika Jiji la Arusha na limepakana na miradi miwili ya viwanja...
  20. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi kurasimisha mitaa 13 ya Mji wa Kondoa

    KONDOA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma. Hayo yamebainishwa tarehe 21 Agosti 2024 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda wakati wa ziara ya...
Back
Top Bottom