Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imeipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ilemela kwanamna ambavyo imetekeleza kwa mafanikio makubwa Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Aridhi katika Halmashauri...
Kamati ya Kudumu ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuendelea kusimamia maazimio ya Bunge ili kutoa huduma bora kwa Watanzania.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Timotheo Mzava jijini Dodoma Agosti 20, 2024 wakati wa uwasilishaji...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa semina kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI kuhusu Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK) unaotekelezwa katika halmashauri mbalimbali nchini kwa fedha zilizotolewa na Wizara hiyo.
Akizungumza na wajumbe wa Kamati pamoja na...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Makazi pamoja na Idara ya Upimaji na Ramani Agosti 13, 2024 ambacho kimefanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma.
Soma Pia:
Waziri Ndejembi ataka uadilifu na...
Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
Kumekuwa na kero Halimashauri ya jiji la Ilala kitengo cha Ardhi kinachosababiswa na huyu mtumishi mmoja
Huyu mtu amekuwa akitumika kwa maksudi kuminya haki za Wananchi kupata Hatimiliki.
Amekuwa akishirikiana na maeneo ya upimaji ambayo baadhi yake yanamilikiwa na walimu wake waliomfundisha...
Nimeona katika mitandao, SSH atakuwa mkoa wa Morogoro, ungependa uongozi wa mkoa huo utoe mrejesho gani kuhusu utendaji wa serikali?
Mimi naona apewe mrejesho kuhusu mashamba pori yaliyorudishwa kwa wananchi, kama walipewa hati, au laa, iwapo ilifanyika kazi ya kupanga matumizi bora ya ardhi...
Kliniki za ardhi, walau kwa kiasi fulani, hazitarajiwi kuwa suala la kudumu. Zitumike kutambua chanzo cha tatizo, na wizara iwasilishe andiko la kitaalamu kuhusu hasa kilichotufikisha hapo, na ikiwezekana lisomwe kwa watu wote, likiwa na mapendekezo ya suluhusho.
Mapendekezo hayo yarejeshwe...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati.
“Tuondoe urasimu, kama mtu ana nyaraka zote zinazohitajika, tuwape hati zao na tukumbuke sisi ni watoa huduma kwa...
Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano.
Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM katika idara mbalimbali mfano wa viongozi hao wa chache ni Lyatonga Mrema, Samuel...
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa. Hakika Jeri alikiwa mwiba mkali kwa matajiri matapeli.
Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa...
Hati za umiliki wa ardhi 1,134 zatolewa Sabasaba 2024
Wananchi wa Dar es Salaam, Dodoma na Pwani wafurika kupata hati zao.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia fursa ya Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kuandaa, kusajili na kutoa Hatimiliki kwa...
TABORA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa nchini kuhakikisha wanakutana na kufanya tathmini na kuweka mpango kazi wa utekelezaji Bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Mhe. Pinda ametoa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma za ardhi kwenye Maonesho ya 48 ya Bishara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Temeke jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na...
DODOMA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amezielekeza Taasisi zote nchini kutenga Fedha katika Bajeti zao kwaajili ya kulipa fidia kabla ya kuanza zoezi la utoaji wa Ardhi kama inavyoelekezwa katika Waraka wa Uthamini wa Fidia namba moja wa Mwaka 2024
-
Kauli ya Waziri Mkuu inakuja wakati ambao...
Salaam wadau wa maendeleo! Najua wizara ya ardhi mnafanya kazi kubwa sana tena sana, Hongereni sana;
Licha ya changamoto mbali mbali mnazopitia ila naomba wakuu wa idara basi angalieni utendaji wa kitengo cha kuchukua hati za kawaida.
Haiwezekani kwenye system hati inaonekana imetoka alafu...
Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
Tulionunua viwanja vya mradi wa serikali vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani tunaomba kujua hatma yetu ya kupewa hati kwasababu wananchi tulionunua hivyo viwanja tumezuiwa kupewa hati zetu kutokana na mgogoro uliopo baina ya Wizara ya Ardhi na mhusika wa eneo...
Sisi ni Wataalamu 183 tulifanya kazi ya Uthamini katika uhamishaji wa wananchi kwenye Mradi wa GN 754 Mbarali Mbeya ambao ulikuwa unahusisha Wananchi kuhamishwa Ili kupisha hifadhi ya Ruaha na Bonde evu la Ihefu.
Waheshimiwa Mawaziri wa Wizara ya ardhi Jerry Silaa na Mhe. Waziri na Naibu Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.