Nimeona katika mitandao, SSH atakuwa mkoa wa Morogoro, ungependa uongozi wa mkoa huo utoe mrejesho gani kuhusu utendaji wa serikali?
Mimi naona apewe mrejesho kuhusu mashamba pori yaliyorudishwa kwa wananchi, kama walipewa hati, au laa, iwapo ilifanyika kazi ya kupanga matumizi bora ya ardhi...