wizara ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Kama unataka mbegu za mazao bora ununue mbegu za Zambia na Kenya,Tanzania hii imejaa watu matapeli na Serikali haijali.

    Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima. Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu...
  2. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Balozi Nchimbi: Wizara ya Kilimo ishughulikie changamoto zilizojitokeza msimu uliopita ili zisijirudie kwenye ugawaji wa pembejeo msimu ujao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo Katika ugawaji pembejeo kwani mkulima inamlazimu mtu kutoka asubuhi sana kuwahi lakini akakosa pia ...
  3. TODAYS

    Kuna wapotoshaji wameanza kuzisagia ndizi kutoka Bara

    Muswano mdau. Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini. Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche...
  4. Roving Journalist

    Agricom yaikabidhi Serikali Trekta 500, Power Tillers 800 na vifaa vingine vya Kilimo

    Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, ambaye alishuhudia...
  5. TODAYS

    PICHA: Huyu Jamaa Hicho Kitengo Kimemfaa, Yaani amekitendea haki

    Picha kwa msaada wa Wizara ya kilimo kitengo cha kuhifadhi nafaka.
  6. Fall Army Worm

    Utaratibu wa kuiuzia mahindi Serikali kupitia NFRA ni mgumu sana

    Wakuu habari za siku nyingi? Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024; Nilipeleka mahindi yangu NFRA kituo cha Kakozi,mkoa wa Songwe. Nikaelekezwa kuwa niyachekeche...
  7. S

    SoC04 Tanzania kwenye G20 2050

    Tunahusiana jamii ya watanzania wenye bahati ya vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuwa na hamu ya serikali zenye usikivu hawamu zake zote, Kuna sehemu tumekosea tokea Uhuru hasa katika swala la kuwa na mahamuzi ya haraka kwenye fursa tulizo nazo. Hatuna tena sababu ya kusingizia ukoloni kama sababu...
  8. Mtuflani Official

    Je, Data za Hotuba za Viongozi huwa zinapikwa?

    Mhe. Hussein Bashe naomba ufafanuzi kidogo kama hautojali. Kwenye hotuba yako ya bajeti umesema kilimo kilizalisha ajira 475,025 mwaka 2023/24. 1. Unaweza kutusaidia ufafanuzi namna hizi ajira zilivyozalishwa na njia uliyotumia kufahamu kwamba kweli idadi hii ilizalishwa? 2. Kama sekta ya...
  9. J

    Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha kuagiza Sukari kwa kampuni ya simu, hii haitakuwa na tofauti na Ufisadi wa Lowassa Richmond

    Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6. Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo alivyosema Stationary iliyopo pembeni ya hotel yake pale Mnazi mmoja ndio imejigeuza kuwa Richmond na...
  10. Akali Trust

    SoC04 Infrastructure and Agriculture

    Infrastructure in this context will refers on all transportation networks, roads, railways ports, on the other hand, Agriculture includes Domestication, and cultivations of animal and crops respectively. We can not deny the fact that Tanzania is among of poor countries though she is rich in...
  11. T

    Luhaga Mpina, Waziri kavunja Sheria hatangazi tenda kuagiza Sukari nje; Waziri kasema ni kweli tenda hazitangawi. Eti leta ushahidi?

    Kuna mambo yanaendelea mpaka unashikwa na hasira na kutamani kupiga ukuta ngumi. Sasa Mh mpina kasema waziri kavunja sheria, Tenda zote za Kuagiza sukari nje hazitangazwi kinyume na sheria na taratibu. Wakati akijibu Mh Waziri wa Kilimo akasema ni kweli tenda hazitangazwi. Hivi kwa mlinganisho...
  12. ngatungas

    SoC04 Mradi wa BBT kwa Vijana ufanyike kila wilaya na uunganishwe na VETA Pamoja na 10% ya Halmashauri iliyoboreshwa

    Ni wazi kwamba Ajira kwa vijana imekuwa ni kilio kwa kila Familia hapa nchini. Na hata kuwa Agenda/Fursa kwa wanasiasa pia. Ila mwiba wa hicho kilio kinapaswa pia kianzie na sera madhubuti zilizoboreshwa zinazolenga kutatua changamoto hii. BBT KWA KILA WILAYA ~• mradi huu wa Building Better...
  13. K

    Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo. Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohammed Bashe baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
  15. A

    DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  16. benzemah

    Hoja ya kuwahamishia maafisa ushirika katika tume ya maendeleo ya ushirika na maafisa ugani chini ya Wizara ya Kilimo

    (Chini ya Kanuni za 60(2) na 61 za Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari, 2023) Mheshimiwa Spika, natambua kuwa mwaka 1998, Serikali ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Serikali na kufanya uamuzi wa kugatua madaraka (Decentralization by Devolution) kutoka Serikali Kuu a kuyashusha ngazi ya...
  17. B

    Tanzania na Kilimo cha Mtandaoni: Je, Waziri Bashe anaifahamu jamii ya wakulima Tanzania?

    Asalam, Leo nimeona sio mbaya kujadili mada hii, NBS inaonesha karibia 65% ya Watanzania wanajihusisha na kilimo. Kilimo cha kujikimu na kiasi kidogo kubadilishia mboga. Tukichanganya ufugaji na uvuvi kama sehemu ya kilimo (maana karibu wate hawa ni wabangaizaji) basi ni 83%. Sasa maswali...
  18. S

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji Tanzania

    Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira, serikali kupitia wizara yake ya kilimo ingetumia nguvu kubwa juu ya vijana kujikita katika kilimo cha...
  19. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  20. Nyendo

    Wizara ya Kilimo: Utaratibu, uuzaji na ununuzi wa biashara ya mazao ya kilimo Nchini

Back
Top Bottom