Pongezi kwa Serikali ya Samia kwenye Sekta ya Kilimo.
Kupitia serikali hii ya Rais Samia jitihada nyingi sana zinafanyika katika kufanya mapinduzi ya Kilimo nchini ili ile slogan tunayotembea nayo siku nyingi “Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,” iwe na uhalisia.
Wengi tumeliona hili...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili.
Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda...
MBUNGE MASACHE KASAKA AZUNGUMZIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO
"Serikali umeweka utaratibu mzuri wa kuchukua vijana na kuwaweka katika makambi, nashauri tuwachukue vinana ambao wameshajiajiri tayari katika kilimo na tuweze kuwapa kipaumbele, hata benki inamkopesha mtu ambaye ameshaanza biashara"...
MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO
Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema chochote kitakachokwama lawama ataitupia wizara hiyo.
Kauli...
WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imepongeza hatua zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kukuza na kuimarisha thamani ya kilimo cha Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar kupitia miradi inayotekelezwa nchini.
Hayo yamebainika kufuatia ziara ya kutembelea wakulima...
Kuna clip ya Kibajaji nimekutana nayo mtandaoni ,eti bajeti ya wizara ya kilimo sasa ni bilioni 950.
Nimejiuliza Kibajaji amechukua figure za maandishi kwenye bajeti ya kilimo au fedha hizo zimeonekana wapi na zimefanya kazi gani?
Kibajaji hajui kuwa fedha zinazosomwa bungeni ni maandishi tu...
Wana JF
Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi.
Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza kupotea kutokana na watu wakidhani wameyakabili maisha kwa kupanda miti hii baadae wauze mbao...
Kilimo-ni shughuli inayofanywa na binadamu kujipatia chakula cha kujikimu kupitia mazao ya chakula na biashara mfano: mahindi,viazi, mihogo, mtama,ulezi,pamba,katani,mikonge nakadhalika na kilimo cha wanyama mfano: ng'ombe,mbuzi,kondoo, nakadhalika na uvuvi wa samaki.kilimo hupaswa kuwa njia ya...
Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima.
Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla.
Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai...
Kiukweli wizara ya kilimo haina strategy yeyote inayoweza kukomboa kilimo chetu. Watu wengi unasikia kila mahali wakimsifu waziri bashe, ila ukiwauliza mnamsifu kwa lipi hasa alilolifanya? Hawana majibu.
Mimi namshauri Bashe afanye yafuatayo:
1. Kwa soko la ndani Tanzania kwa sasa...
Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
POST AGRICULTURAL TUTOR II – ENGINEERING – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules;
ii.To...
POST AGRICULTURAL TUTOR II – COMMUNICATION SKILLS – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules...
POST AGRICULTURAL TUTOR II – COMPUTER SCIENCE – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules...
POST AGRICULTURAL TUTOR II – FOOD SCIENCE – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules;
ii.To...
Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.