Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa.
Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona Wizara yao imeangukia pua nchi nzima?
Kweli hii changamoto ipo au imetengenezwa? Hivi hamjiskii aibu...