Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti.
Maelekezo mengine yeyote...
Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi.
Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA
Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi.
Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
Hello wana JF,
Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa...
Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo.
Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
Watu Milioni 32 sawa na asilimia 53 ya watanzania wakamilisha chanjo dhidi ya Uviko-19
WIZARA ya Afya imesema kuwa hadi kufikia Desemba mwaka jana jumla ya watu Milioni 32.5 ambao ni sawa na asilimia 53 ya watanzania wote wamekamilisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19.
Hayo yalibainishwa...
Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi
Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral keratoconjunctivitis (red eyes) na watu 5,359 wametajwa kuathirika.
Kufuatia kusambaa huko, wizara imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Wizara linalojengwa katika Ofisi za Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kuendana na ratiba ya ukamilishaji.
Bashungwa ametoa agizo hilo Januari 29, 2024 wakati akikagua...
Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.
Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja.
Doto anahangaika na Unaibu waziri mkuu, anasahau majukumu ya TANESCO.
Ninashauri Rais aunde Wizara ya Umeme tu ambayo itahusika na...
Habari ya J3 wadau wa JF.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mfumo w E-sponsorship wa Wizara ya Afya ambao hutumika kujisaijri na kutuma mombi ya ufadhili, upo chini haufanyi kazi na unasumbua katika process za kujisajiri, hivyo kuwia ugumu kufanya usajiri katika mfumo huo.
Ombi maIT wa...
Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi.
Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya.
Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital?
Unless kutakuwa na shida mahali
Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada.
Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika.
Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una...
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!
Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye...
Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi.
Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi za Kanda. Haikupita muda akashusha mpk ofisi za mikoa.
Kaingia Angelina Mabula akataka kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.