Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amesema imebainika mita zinaziibiwa zinakwenda kutengenezea bangili na pete
"Katika vitu ambavyo vinatoka changamoto hapa kwa sasa hivi katika jirodoma ni wizi wa mita. Wananchi wengi wanalalamika...