Kila transaction uliyofanya kuanzia mwezi wa 7 serikali inakukata 4000 mara 2. Huu ni WIZI. nasisitiza huu ni WIZI WA WAZI KABISA.
Serikali Hii inafanya WIZI WA PANYA OFFICE. ni tofauti ndogo tu na PANYA ROAD. Watanzania tusikubali na kuruhusu huu WIZI tunaofanyiwa na Serikali hii ya kikatili...
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni.
Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au haujalitumia vizuri.
Lakini sasa wamekuja na mbinu nyingine ya kuwaibia wateja kupitia kuwauzia "Tozo" ya...
Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi
Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limemkamata Seleman Kalembo, maarufu kama Sele Bonge na wenzake 9 kwa tuhuma za wizi na kuwakuta wakiwa na gari aina ya Noah vifaa mbalimbali vya kuvunjia nyumba, TV nne pamoja na mfuko wa kufichia TV baada ya kuiba.
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda...
Kwa sasa Tanzania tuna mashirika makubwa sana ya misaada na mashirika hayo lengo lao kubwa zaidi ni kutoa misaada mbali mbali.
Mfano IDWF (international domestic workers federation) nimelisemea shirika hili kwasababu nimewahi kufanya makala inayohusu misaada wanayotoa kwenye jamii ila cha...
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba,
Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
Huwa natumia sana mtandao wa Tigo. Leo asubuhi kama sa nne hivi nikanunua kifurushi cha intanet GB 1 ( huwa napata pia dk 30 kupiga mitandao yote).
Cha kushangaza/kusikitisha mda mfupi uliopita naangalia salio la kifurushi hiki, nakuta MB 800 zimeyoyoma. Sijaangalia hata video moja.
Kipindi...
Habari wadau.
Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari.
Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari lazima ukanunue tena hicho ki cover.
Wezi wanaenda kuwauzia wauza spea hivyo vi cover vya wizi na...
Serikali ya CCM inachofanya ni Uporaji wa Pesa za wanachi! Huwezi Mkata mtu PAYE au Income tax halafu uje tena umkate tozo ya Serikali kwa kutoa pesa bank kwenye Pesa hiyo hiyo.
Thats Robbery in a broad day light. Widen your tax base. Acheni quick fix its not Sustainable
Serikali ya CCM inachofanya ni Uporaji wa Pesa za wanachi! Huwezi Mkata mtu PAYE au Income tax halafu uje tena umkate tozo ya Serikali kwa kutoa pesa bank kwenye Pesa hiyo hiyo.
Thats Robbery in a broad day light. Widen your tax base
Acheni quick fix its not Sustainable
Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy
Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july
Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani llinawashikilia watu 21 kwa tuhuma za wizi wa mifugo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Agosti 19, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa kufuatia msako wa jeshi hilo iliyofanyika usiku na mchana baada...
Jeshi la Polisi limemkamata Gamariel Swai (43) mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi kwa tuhuma za kuuza spea za magari zilizoibwa kwenye magari ya watu mbalimbali. Duka lake lipo Mtaa wa Songea, Ilala.
Awali, Jeshi la Polisi tarehe 23 Julai 2022 lilipokea taarifa ya wizi wa vifaa vya gari huko...
Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho.
Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano, hii ni mbinu mpya ya kuwaibiwa watu kwa njia ya mtandao huku mwizi huyo akiwa amejificha nyuma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.