Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2
Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi
Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W
Kwa...
Ahlan wa sahlan
Kama uzi unavyojieleza ,moja kwa moja nailenga tume ya taifa ya michezo ya bahati nasibu.Tunafahamu kuwa makampuni ya kamari yanalipa kodi kubwa kwa serikali ndio maana yanapewa vibali kuendesha shughuli zao za kinyonyaji.
Mada yangu inalenga zaidi katika online casino games...
Habari Wana jukwaa...
Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia.
Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.
Ujumbe uko hivi:
"VODACOMLIVE
Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"
Mtu huna...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Halotel katika menu ya weekly mega bundle ambayo ulikuwa ukipatiwa dakika 30 mitandao yote dakika 30 halotel na mb 1000 waliamua kukipunguza mpaka kufikia mb 600 kwa wiki. Kama hiyo haitoshi jana jioni waliamua kudanganya watumiaji wake kwa kuandika kwamba kwa...
Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss that you can get if the highest authority know what you have done during the process of stealing
Mimi...
Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo.
1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
Kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili manispaa ya Lindi amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu baada ya kupigwa na mtu aliyemtuhumu kuiba betri ya gari leo Disemba 28, 2021.
Imeelezwa kuwa, Mtuhumiwa huyo ambaye ni kondakta, alipewa gari hiyo kwenda...
Salama wandugu
Hivi Watanzania mbona watu ajabu ajabu Sana na majizi Sana???????? ,kwa Sasa wanaanza wizi wa masega kwenye gari kwa ambao hamfahamu masega ni vitu vinavyosaidia gari kutumia mafuta kidogo na inaongeza speed ya gari yakitolewa ndio utaona gari unakanyaga mafuta lakini haikimbii...
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G.
Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa...
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.
TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.
Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa...
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi...
Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
Jameni kwa wale wenye vikundi ndani ya vodacom @M-koba..hawa watu wameanza wizi wa kuzuia miamala ya watu..fedha hazitoki na wanachofanya wanaweka kanuni zao wenyewe za utoaji fedha badala ya kanuni za wenyw kikundi. Na hata ukipiga simu customer care hakuna jibu la maana zaidi ya longolongo...
Naandika hili kwa masikitiko Sana kwamba ujambazi au wizi unafundishwa makanisa haya ya kilokole.
Mfano ukienda makanisa haya utaambiwa kesho utakuwa tajiri au utaokota fuko la hela wakati inajulikana ili upate hela lazima ufanye kazi za jasho. Hawa wanapelekea kuwa ikitokea ukapoteza waleti...
Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.
Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.
Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa.
Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.