Salama wandugu
Hivi Watanzania mbona watu ajabu ajabu Sana na majizi Sana???????? ,kwa Sasa wanaanza wizi wa masega kwenye gari kwa ambao hamfahamu masega ni vitu vinavyosaidia gari kutumia mafuta kidogo na inaongeza speed ya gari yakitolewa ndio utaona gari unakanyaga mafuta lakini haikimbii...